Vipi haya mambo ya mitandao kuanza na speed nzuri ya data lakini baadaye speed zinakatisha tamaa

Soki

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
1,303
279
Hivi ni nini sababu ya mitandao mingine ya simu kuanza na speed nzuri ya data katika internet halafu baadaye speed inafifia?

Na je speed ikififia hawana njia ya kufanya ili speed yao iliyoanza kufifia iwe nzuri tena kama mwanzo? Hawana kabisa njia ya ku-maintain speed isipungue? Maana airtel walioanza na speed nzuri tu sasa hivi inaboesha na sijui kama watarudi katika speed ile au ndo basi tena. Na tigo wanaosifiwa kwa sasa, je na wao si ni swala la wakati tu watakuja ku-slow down?

Huo mkongo wa taifa mbona hata sioni cha ziada sana ulichofanya kwa upande wa speed. Maana tulidhani ingekuwa kama katika nchi za wenzetu huko nje
Wataalam tupeni mchango wenu!
 
(Available Bandwidth)/(Total users) = "Spidi"
As Total Users˄˄˄ --->>> "Spidi"˅˅˅˅
 
solution?
Buy more bandwidth, which raises costs which raises prices.
Na kwa kuangalia forum hii tu, kila mtu anatafuta njia ya kuchakachua au kuiba Internet hakuna anayetaka kulipa so its a slow process.
 
Buy more bandwidth, which raises costs which raises prices.
Na kwa kuangalia forum hii tu, kila mtu anatafuta njia ya kuchakachua au kuiba Internet hakuna anayetaka kulipa so its a slow process.

Which means kwa kuwa internet users wanaongezeka, na kwa kuwa wao wana afford hizo za cheap then siyo muda mrefu mitandao yote spidi itakuwa very very slow! What might be the future of internet. AU PENGINE HAO ISP WANA JINSI YA KUONGEZA SPEED?!
 
ISP kuongeza bandwidth sio tatizo, tatizo ni kwamba watumiaji wataweza kulipia? mheshimiwa hapo juu amesema point muhimu sana, wakati wote mtu anatafuta kutumia internet bure,.. (kuchakachua) bado anataka iwe na speed ni ndoto....
 
Nimempata mheshimiwa hapo juu na hata wewe! Pia siko kwa hao wanaochakachua. Mimi nilikuwa natumia bundles lakini siku hizi naweka unlimited kwa mwezi. So sichakachui. NILICHO ELEWA NI KWAMBA UKIONA SASA WATU WAMEONGEZEKA KWENYE HIZI BEI RAHISI AMBAZO ZAMANI ZILIKUWA NA SPEED NZURI TU TOFAUTI NA SASA, BASI DAWA NI KUHAMIA KWENYE HIZO ZA GHALI AMBAZO ZINA SPEED NZURI, KWA SABABU HAKUNA JINSI YA KUFANYA SPEED IWE KUBWA KAMA ZAMANI KWA HIZI ZA BEI YA CHINI! What might be the future!
 
bado , tuvute subira, maaana mwenye kusubiri hajuti, mambo yatajipa tu one day yes. na sisi tutakuwa na 8Mb/s kama ulaya vile.
hivi sasa ni afadhali kidogo ukilinganisha na mwaka mmoja nyumba:biggrin1:
 
Kuna nini kinachofanyika cha kutupa matumaini ya kusubiri katika hili?
 
Back
Top Bottom