vipi hawa tanroads kagera wameahirisha kuita au kuna mafuriko? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vipi hawa tanroads kagera wameahirisha kuita au kuna mafuriko?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by zamuta, Jan 5, 2012.

 1. z

  zamuta Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nijuzeni kuhusu tanroads kagera
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​kuna mafuriko
   
 3. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Watu wanaendelea na ajira zao, siku nyingi. This is Tanzania
   
 4. z

  zamuta Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka premium una uhakika wameanza?
   
 5. z

  zamuta Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wameita lini maana niko bush nalima mara chache navisit net.
   
 6. Tausi.

  Tausi. Senior Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka hapa kuna habari za kusua sua hazina uhakika kabisaaaaaaaaaaa.
  Kuna mmoja aliniambia walishaita zamani na wanapiga mzigo,
  Mwingine akasema bado hawajaita kwani wanasubilia fungu toka............., sasa sijui nani mkweli????
  Mwenye habari za uhakika hapa tunaomba atujuze.
   
 7. z

  zamuta Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli tausi
   
 8. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ufupi, watu wapo kazini, subiri nimenusa ajira zenyewe zinatangazwa no later than end of this month
   
 9. made

  made JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 60
  Ajira bado.
   
Loading...