Vipi hali ya Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia?

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
James-Mbatia.jpg

Muda umepita sasa tangu zisambae taarifa za Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa, Mhandisi James Mbatia kupelekwa nchini India kutibiwa matatizo ya Mguu yanayomsumbua.

Zilipotolewa taarifa za aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Samwel Sitta(R.I.P) kupelekwa nchini ujerumani kutibiwa tatizo la mguu, maneno mengi yalisemwa hasa kutoka kwa Wapinzani wakihoji tatizo la mguu tu kumpeleka mtu nje ya nchi kwa matibabu.

Tuyaache hayo ya wanasiasa. Basi tujulishwe hali ya Ndugu yetu James Mbatia, vipi hali ya mguu wake unaendeleaje huko aliko?
 
View attachment 438942

Hivi kweli amewahi kuoa huyu mgonjwa wa mguu anaetibiwa India?
 
Kuna watatu walisema kwa kiburi kuwa Mh. Lowasa atafariki kabla ya uchaguzi wa Oct. 2015. Wamefariki wao. Acheni Mungu aitwe Mungu.
It is stupidity at its highest order kumtabilia mtu kifo awaye ye yote.
 
Inahusiana vipi sasa na kumtakia hali James Mbatia
 
Maskini James Mbatia! Hivi na huyu hajawahi kumsema vibaya Lowasa? Maana nasikia siku hizi Lowasa anashughulikia wabaya wake kimya kimya
 
Huyo kajirutalia ni mpuuzi kama jina lake. Kuna mtu asomfaham mbatia nji hii kweli ? Hata mtu wao Mrema naye anamtambua itakuwaje huyo kulialia?
 
Kuna watatu walisema kwa kiburi kuwa Mh. Lowasa atafariki kabla ya uchaguzi wa Oct. 2015. Wamefariki wao. Acheni Mungu aitwe Mungu.
It is stupidity at its highest order kumtabilia mtu kifo awaye ye yote.
Do you real stand on your words. Can you point your blade to Lema?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom