Vipi hali ya Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia?

Kuna watatu walisema kwa kiburi kuwa Mh. Lowasa atafariki kabla ya uchaguzi wa Oct. 2015. Wamefariki wao. Acheni Mungu aitwe Mungu.
It is stupidity at its highest order kumtabilia mtu kifo awaye ye yote.
Vipi ukiota ndotoni??
 
View attachment 438942
Muda umepita sasa tangu zisambae taarifa za Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa, Mhandisi James Mbatia kupelekwa nchini India kutibiwa matatizo ya Mguu yanayomsumbua.

Zilipotolewa taarifa za aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Samwel Sitta(R.I.P) kupelekwa nchini ujerumani kutibiwa tatizo la mguu, maneno mengi yalisemwa hasa kutoka kwa Wapinzani wakihoji tatizo la mguu tu kumpeleka mtu nje ya nchi kwa matibabu.
Tuyaache hayo ya wanasiasa. Basi tujulishwe hali ya Ndugu yetu James Mbatia, vipi hali ya mguu wake unaendeleaje huko aliko?
Ili iweje
 
Kuna watatu walisema kwa kiburi kuwa Mh. Lowasa atafariki kabla ya uchaguzi wa Oct. 2015. Wamefariki wao. Acheni Mungu aitwe Mungu.
It is stupidity at its highest order kumtabilia mtu kifo awaye ye yote.
Naomba tarehe,jina la mtu aliyesema kuwa lowasa atafariki kabla ya tarehe 25 October 2015 nami nijue
 
"Afadhali huyu mgonjwa
LOWASSA ameondoka maana
angetufia tukaingia gharama za
mazishi
Celina Kombani, R.I.P
" Nasema hivi, LOWASSA ni
mgonjwa na hawezi kumaliza
hata wiki ikulu" Dr Didas
Masaburi, R.I.P
"LOWASSA ni mgonjwa na
dhaifu, hafai kupewa dhamana
ya kuongoza nchi, akipatikana
rais anayeishi kwa matumaini,
kwa hofu ya kupoteza uhai
atatumikia maslahi yake zaidi
kuliko taifa" Mch Mtikila, R.I.P
????????? Next.....
 
Kama kuna msemaji wa Mbatia huku jf atoe jibu vinginevyo maswali mengine yanaulizwa kwa makusudi
 
Kuna watatu walisema kwa kiburi kuwa Mh. Lowasa atafariki kabla ya uchaguzi wa Oct. 2015. Wamefariki wao. Acheni Mungu aitwe Mungu.
It is stupidity at its highest order kumtabilia mtu kifo awaye ye yote.
Dah...akili fupi hii....Huyo Mzee wenu,wewe na mimi tutafika mwaka 2170???:cool::cool:
 
Vipi ha
View attachment 438942
Muda umepita sasa tangu zisambae taarifa za Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa, Mhandisi James Mbatia kupelekwa nchini India kutibiwa matatizo ya Mguu yanayomsumbua.

Zilipotolewa taarifa za aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Samwel Sitta(R.I.P) kupelekwa nchini ujerumani kutibiwa tatizo la mguu, maneno mengi yalisemwa hasa kutoka kwa Wapinzani wakihoji tatizo la mguu tu kumpeleka mtu nje ya nchi kwa matibabu.

Tuyaache hayo ya wanasiasa. Basi tujulishwe hali ya Ndugu yetu James Mbatia, vipi hali ya mguu wake unaendeleaje huko aliko?
Nasikia pia Augustine Lyatonga Mrema na yeye anaumwa, yupo India kwa matibabu.....ni kweli?
 
Mungu amponye na awe ana afya njema kulitumikia Taifa. Huyu ni kati ya vichwa tunavyovihitaji kwa ustawi wa Taifa letu.
 
Dah...akili fupi hii....Huyo Mzee wenu,wewe na mimi tutafika mwaka 2170???:cool::cool:
Tatizo ni uelewa wako mdogo. Soma vizuri why I responded the way I did. Narudia tena. Soma post iliyotangulia na majibu yangu.
Heri akili fupi kuliko the insane.
 
Kuna watatu walisema kwa kiburi kuwa Mh. Lowasa atafariki kabla ya uchaguzi wa Oct. 2015. Wamefariki wao. Acheni Mungu aitwe Mungu.
It is stupidity at its highest order kumtabilia mtu kifo awaye ye yote.
Mkuu afi mtu kwa ugonjwa wake na wala hafi mtu kwa uzee wake na wala hafi mtu kwa ajali bali kwa MUDA WAKE ALIOPANGIWA UKIFIKA HAINA MJADALA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom