Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 358
Nahisi huu ungekua mchezo pendwa kuliko;
1.Mpira
2.Basketball
3.Boxing
Kwa upande wangu ningefanya juu chini nijifunze huu mchezo na sidhani kama ningekubali kupoteza mchezo kirahisi.
Vipi wewe ungeupenda huu mchezo?
1.Mpira
2.Basketball
3.Boxing
Kwa upande wangu ningefanya juu chini nijifunze huu mchezo na sidhani kama ningekubali kupoteza mchezo kirahisi.
Vipi wewe ungeupenda huu mchezo?