Vipi Dr. Walid Amani Kabourou?

Kijuram

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
513
372
Mwanasiasa huyu alipokuwa CHADEMA alikuwa ni mwenye mvuto, na alikuwa na dalili zote za kuwa Mwanasiasa wa kitaifa.
Amepatwa na nini baada ya kuwa Mwenyekiti wa CCM Kigoma? Ina maana hana shauku ya kuwa mwanasiasa mkubwa zaidi katika ngazi ya kitaifa?
Wana JF mnaomfahamu vizuri huyu mtu naomba mtupe habari.
 
Niliwahi kumuona majuzi kati hapa kigoma amevaa suspender anakula mahindi ovyo barabarani mandevu kibao kama fundi bomba.

"Siasa kweli si asa bali visa na mikasa!"

Amefubaa kisiasa kabourou anafanya ujasiriamali hapa kwenye kaframe kake NHC.
 
Kwa Hiyo Mafundi Bomba Ndio Tunaofuga Madevu? Acha Dharau Kijana.
 
KABOUR.jpg
 
Niliwahi kumuona majuzi kati hapa kigoma amevaa suspender anakula mahindi ovyo barabarani mandevu kibao kama fundi bomba.

"Siasa kweli si asa bali visa na mikasa!"

Amefubaa kisiasa kabourou anafanya ujasiriamali hapa kwenye kaframe kake NHC.

Mwenzake Zitto amejiandaa mapema. Kavuta mpunga wa maana
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi kumuona majuzi kati hapa kigoma amevaa suspender anakula mahindi ovyo barabarani mandevu kibao kama fundi bomba.

"Siasa kweli si asa bali visa na mikasa!"

Amefubaa kisiasa kabourou anafanya ujasiriamali hapa kwenye kaframe kake NHC.

Hahahaa!,Zito naye anaelekea huko
 
Kaburu alikuwa juu sana kabla hajahadaiwa pasipo kujua. I don't know how much he was paid.
 
Back
Top Bottom