Kijuram
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 513
- 372
Mwanasiasa huyu alipokuwa CHADEMA alikuwa ni mwenye mvuto, na alikuwa na dalili zote za kuwa Mwanasiasa wa kitaifa.
Amepatwa na nini baada ya kuwa Mwenyekiti wa CCM Kigoma? Ina maana hana shauku ya kuwa mwanasiasa mkubwa zaidi katika ngazi ya kitaifa?
Wana JF mnaomfahamu vizuri huyu mtu naomba mtupe habari.