Vipeperushi Vyasambazwa Pemba.

Wazanzibar wanaichukulia Bara ambayo ni Tanganyika kama wakoloni weusi. Hii dhambi ya kuanza kubaguana kama hivi ikisha ingia damni sijui tutaelekea wapi? Wengine tunatarajia kuchumbia znz.
na Nyerere alishawaonya. Waache wajidanganye wakidhani kuwa karume na Maalim Seif ni wamoja
 
Nina shaka na upeo wa aliyeaandika hiki kijiwaraka. Sijui tanganyika imekolonisha vipi zenji? Kwanza kwa kiasi kikubwa wazenji wanafaidika zaidi na tanganyika kuliko wanavyopiga kelele. Kisha mwandishi ni mbaguzi ...umma wa wazalendo na waislamu...so kama wewe ni mkristu au mbahai basi huna chako visiwani...kwa mtazamo sijui huu uzalendo na umoja utatoka wapi?
 
Hivi Tanganyika tunafaidika vipi na huu Muungano? Kama Z'Bar wanatuona sisi ni wakoloni, ambapo kila kona bara Wapemba wamefungua viduka vyao vya kutunyonya, huu Muungano ukivunjika wakarudi kwao, si watakwenda kulana tu?

Sasa hivi ukihesabu wakaazi wa Unguja na Pemba, hawazidi wakaazi wa Wilaya ya Kahama. Licha ya udogo huo wana Wabunge 50 na Bara hawazidi 220.

Uchumi wao wa karafuu umedorora na sasa ni utalii tu ndiyo ukombozi. Hata ktk utalii ni WaKenya wanatoa huduma ya management.

Fedheha tupu toka kwa watu wasioelewa kwamba ni Tanganyika inawabeba! Polisi, JWTZ, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mabalozi wetu nje; vyote hivi vinalipiwa na kodi ya wakaazi wa Bara.

Ukweli ni kwamba Z'bar hawastahili kuwa zaidi ya wilaya mbili ktk Jamhuri ya Tanzania. Wathubutu kujitenga wathibitishe.
 
Last edited:
Haina haja ya kushutumu kama Zanzibar inataka ijitenge kwa nini Tanganyika ing'ang'anie au kuna manufaa ambayo serikali ya Tanganyika inayapata?
 
Hivi Tanganyika tunafaidika vipi na huu Muungano? Kama Z'Bar wanatuona sisi ni wakoloni, ambapo kila kona bara Wapemba wamefungua viduka vyao vya kutunyonya, huu Muungano ukivunjika wakarudi kwao, si watakwenda kulana tu?

Sasa hivi ukihesabu wakaazi wa Unguja na Pemba, hawazidi wakaazi wa Wilaya ya Kahama. Licha ya udogo huo wana Wabunge 50 na Bara hawazidi 220.

Uchumi wao wa karafuu umedorora na sasa ni utalii tu ndiyo ukombozi. Hata ktk utalii ni WaKenya wanatoa huduma ya management.

Fedheha tupu toka kwa watu wasioelewa kwamba ni Tanganyika inawabeba! Polisi, JWTZ, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mabalozi wetu nje; vyote hivi vinalipiwa na kodi ya wakaazi wa Bara.

Ukweli ni kwamba Z'bar hawastahili kuwa zaidi ya wilaya mbili ktk Jamhuri ya Tanzania. Wathubutu kujitenga wathibitishe.

sasa kwa kauli zako hizo hapo juu huoni itakuwa afuweni kwa Tanganyika? kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi ,hizo ni habari njema kwenu ilikuwa mfurahie mzigo mnautuwa .
 
HII IMETOKEA LEO BAADA YA SALA YA IJUMAA, WATANGANYIKA KAZI KWENU

i657_VikaratasiLeoHii.jpg

Kuna harufu mbaya hapa, Wazanzibari na Waislamu kwa ujumla!!! Nina hakika huko Zenji pia kuna Wakristo. Au hawa wakristo si wazanzibari tena?!! Jamani sometimes tuwe makini na ujumbe tunaotaka kuutoa ili husije leta migawanyiko katika jamii zetu.
 
Habari ndiyo hiyo, kama SMT hawawezi kusikiliza makelele ya Wazanzibar, then waachwe wahamasishane wenyewe kabla mambo hayajaharibika.
 
Ujumbe sio mbaya unaonyesha kuleta umoja miongoni mwa WaZanzibari maana Tanzania nzima kunafanyika uchaguzi haijaonekana mikoa ya nyanda za juu kupelekwa majeshi na vifaru,Mbeya kuna mauaji toka walikuwa wanachunana ngozi hadi kufikia kufanya biashara ya kuuza viungo vya albino hatujaona kupelekwa majeshi,Mara mapigano ya kikabila kila siku hatujaona kupelekwa majeshi ,Dar majambazi kila siku tena wanatumia silaha za kisasa hatujaona kupelekwa majeshi ,mikoa ya kaskazini kila siku watu wanavuka mipaka na kuiba ng'ombe hatujaona kupelekwa majeshi ,Kikwete anatuambia nini hili la kupeleka majeshi Pemba ,kama kulinda usalama alete vipimo vya usalama unaohitajika hata kufikia kupelekekwa majeshi. Kama kujitenga kwa Pemba hakuhitaji majeshi maana walishaandika barua ya wazi na habari zao kuandikwa magezetini ,hili la kupeleka majeshi ni lazima litakuwa na maana nyingine ambayo haikubaliki ndani ya visiwa viwili vya Zanzibar ,jini likujualo halikuli likakwisha ,hivyo WaZanzibari kama watauwana au watamezana ,WaTanganyika inawauma nini ? Kama kweli mna imani mungezuia uchunaji wa ngozi,uuzaji wa viungo vya binadamu mauaji ya koo na kikabila humo ndani ya Tanganyika kwanza ndipo mkarukia Zanzibar ,Tanganyika imejaa mauaji tena ni ya kila siku mpaka wananchi wa huko wamekufa ganzi na kuona ni jambo la kawaida ,leo hii mnapeleka majeshi kila kona ya dunia eti kulinda amani ,huku ni kujipendekeza kwa serikali ilipo madarakani ,kwani wengi wa wanaokufa wamo humu Tanganyika kuliko huko wanakokwenda linda amani.

Hii inahitajika Waziri wa ulinzi atoe tathmini ni WaTanzania wangapi wanauwawa kila siku ,atupe japo wastani ya vifo vinavyotokea kwa ujambazi ,mauaji ya kwa ajili ya kupata viungo vya binadamu na kuviuza,uchunwaji ngozi ,vita vya koo,mauaji yanayosababishwa na wizi wa ng'ombe ,atuonyeshe na kuona kama humu Tanganyika mna amani ?

Kinachotokea ni kuwapeleka wanajeshi wa Tanganyika nchi za nje kwa kisingizio cha kwenda kulinda amani wakati ndani ya Nchi hii hamna amani ,huko ni kuwapeleka waTanzania kama chambo na hata data za wanaokwenda na wanaorudi hazitolewi ,kitendo cha kuwapeleka majeshi nje ya nchi ni kutaka misifa jambo ambalo iko siku mtalia kilio cha mbwa mdomo juu.Watakapopata kisago huko,hatuombei hilo litokee lakini kwa mnavyowafanyia watu wa Pemba basi dua zipo njiani.

Umoja wa Zanzibari ni muhimu sana kwa jinsi Tanzania inavyoendeshwa kama WaTanganyika wanaridhika hilo ni lao na wao ndio watajua dawa ya kujinasua na kasumba hizi za KiCCM za kulindana na kufikia kulisimamisha bunge lisikemee viongozi wahujumu uchumi ,hilo ni moja ya jambo ambalo WaZanzibari wanaliona limevuka mipaka ya kiutawala.
 
si wajaribu tuone, hawa wazanzibar/waislam wana matatizo sana huwa wanapenda sana kufanya fujo mara wanapotoka misikitini, huwa najiuliza bila majibu huko huwa wanaenda kuswali au kupanga mikakati ya kufanya fujo

Ama kwa hili hata mimi najiuliza Uislamu uko Zanzibar na sio kwenu , huwachi wafanye fujo zao tu.
 
Hivi Tanganyika tunafaidika vipi na huu Muungano? Kama Z'Bar wanatuona sisi ni wakoloni, ambapo kila kona bara Wapemba wamefungua viduka vyao vya kutunyonya, huu Muungano ukivunjika wakarudi kwao, si watakwenda kulana tu?

Sasa hivi ukihesabu wakaazi wa Unguja na Pemba, hawazidi wakaazi wa Wilaya ya Kahama. Licha ya udogo huo wana Wabunge 50 na Bara hawazidi 220.

Uchumi wao wa karafuu umedorora na sasa ni utalii tu ndiyo ukombozi. Hata ktk utalii ni WaKenya wanatoa huduma ya management.

Fedheha tupu toka kwa watu wasioelewa kwamba ni Tanganyika inawabeba! Polisi, JWTZ, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mabalozi wetu nje; vyote hivi vinalipiwa na kodi ya wakaazi wa Bara.

Ukweli ni kwamba Z'bar hawastahili kuwa zaidi ya wilaya mbili ktk Jamhuri ya Tanzania. Wathubutu kujitenga wathibitishe.

Lugha yako inaeleza yote na sijui kwanini unakataa huo ukoloni iwapo fikira zako ziko hivyo.
Ingekuwa jambo la Busara kwa Tanganyika kuiachia Zanzibar ili ikajifunze huko mbeleni lakini lugha na matendo yenu hayana tofautio na lugha walizokuwanazo wakoloni wakati huo.
 
Kuna harufu mbaya hapa, Wazanzibari na Waislamu kwa ujumla!!! Nina hakika huko Zenji pia kuna Wakristo. Au hawa wakristo si wazanzibari tena?!! Jamani sometimes tuwe makini na ujumbe tunaotaka kuutoa ili husije leta migawanyiko katika jamii zetu.

Zanzibar kuna Wakiristo na walikuwa wakiishi vizuri na ndugu zao wa Kiislamu.
Fitna kubwa imeletwa na huu unaoitwa Muungano kwa kuleta Wakiristo kutoka Bara kwa makusudi hasa ya kudhoofisha Uislamu.
Kwa kawaida pale panapokuwa na dhamira mbaya kama ilivyofanywa na Kanisa kwa Wazanzibari hili linalotokea haliepukiki kwani usidhani kuwa Waislamu watakaa kimya huku wakifanyiwa hujuma za makusudi.
Wakristo Wazanzibari hawakuwahi kugombana na ndugu zao lakini hawa wanaopandikizwa ndio tatizo.
 
ZNZ andaeni independence yenu. Huu muungano hauna maana yoyote kwa ZNZ au Tanganyika. Mkivunja muungano mtakuwa na maisha bora zaidi kuliko sasa hivi. Sasa WZNZ mnasubiri nini? Is time for Independence yenu.
 
Zanzibar kuna Wakiristo na walikuwa wakiishi vizuri na ndugu zao wa Kiislamu.
Fitna kubwa imeletwa na huu unaoitwa Muungano kwa kuleta Wakiristo kutoka Bara kwa makusudi hasa ya kudhoofisha Uislamu.
Kwa kawaida pale panapokuwa na dhamira mbaya kama ilivyofanywa na Kanisa kwa Wazanzibari hili linalotokea haliepukiki kwani usidhani kuwa Waislamu watakaa kimya huku wakifanyiwa hujuma za makusudi.
Wakristo Wazanzibari hawakuwahi kugombana na ndugu zao lakini hawa wanaopandikizwa ndio tatizo.
great thinker wa JF bana......
 
La kushangaza ni kuwa kwanini ung'ang'anie kitu ambacho hakina faida na wewe? kama hakina faida na wewe basi hebu wapeni nchi yao,then nyinyi muangalie yenu au vipi? na kwanini musiitwe wakoloni weusi wakati ni wang'ang'anizi? tena basi kule zenji sio tu wanawaita Bara wakaloni weusi bali wanasema ni bora hao wakoloni weupe kuliko hawa wakoloni weusi kwa jinsi wanavyodhalilishwa,wanavyoteswa,wanavyouliwa,wanavyonyimwa haki zao za msingi na kila baya hufanyiwa wao,SASA KWANINI USIITWE MKOLONI MWEUSI?,WAPENI BASI NCHI YAO KAMA KWELI NYINYI HAMFAIDIKI KITU KTK ZNZ. hapo ndo inakuja ile dhanna kuna kitu bara wanakipata kutoka kule zenji na inaonekana wanafaidika sana Tanganyika kupitia mgongo wa zenji ndo mana wakang;ang'ania.. Lkn siku za mwizi arobaini kwani kila dalili sasa zinaonesha kuwa wananchi znz wameamua litakalokuwa na liwe, na kwa uzoefu wangu nimeona vikaratasi kama hivi siku zote huwa wanaosambaza ni hao ccm wa znz,sasa jiulizeni mpaka kufikia kutoa ujumbe ka huo........
 
si wajaribu tuone, hawa wazanzibar/waislam wana matatizo sana huwa wanapenda sana kufanya fujo mara wanapotoka misikitini, huwa najiuliza bila majibu huko huwa wanaenda kuswali au kupanga mikakati ya kufanya fujo
Wakijaribu ,mtakuja na vilio bungeni bora wafanye kweli na ndio wapo njiani.
 
Back
Top Bottom