VIPENGELE KATIKA UJAZAJI MAOMBI YA BODI YA MIKOPO

Nonji

Nonji

Member
Joined
Nov 22, 2017
Messages
23
Points
45
Nonji

Nonji

Member
Joined Nov 22, 2017
23 45
Wakuu habari!?

Naomba msaada katika ujazaji wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu.

Nimejaza vipengele vyote lakini nimekwama katika hatua za mwisho kwenye Declarations and Signature.

Sehemu hizi:-

1. Attach page 2 of your Application form-After being signed and athourised by applicant, Commissioner of paths and Local Government leaders

2. Attach Page five (5) of your Application form after attestation

Swali langu ni je hizo pages (2& 5) natoa wapi?

Naamini nitajibiwa vema.
 
mwakajingatky

mwakajingatky

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2018
Messages
407
Points
1,000
mwakajingatky

mwakajingatky

JF-Expert Member
Joined May 30, 2018
407 1,000
Baada ya kumaliza kujaza online si uliprint?, kwenye karatasi zile ulizoprint angalia pg 2 na 5 kunasehemu pia za kusaini

Jaribu kujumuika na wenzako...kwani ulimaliza shule pekeako au unaapply tuu mkopo kipekeako pekeako,jaribu kushilikiana na wenzako kujua zaidi...
 
Nonji

Nonji

Member
Joined
Nov 22, 2017
Messages
23
Points
45
Nonji

Nonji

Member
Joined Nov 22, 2017
23 45
Baada ya kumaliza kujaza online si uliprint?, kwenye karatasi zile ulizoprint angalia pg 2 5.
Baada ya kumaliza kujaza online si uliprint?, kwenye karatasi zile ulizoprint angalia pg 2 na 5 kunasehemu pia za kusaini

Jaribu kujumuika na wenzako...kwani ulimaliza shule pekeako au unaapply tuu mkopo kipekeako pekeako,jaribu kushilikiana na wenzako kujua zaidi...
na 5 kunasehemu pia za kusaini

Jaribu kujumuika na wenzako...kwani ulimaliza shule pekeako au unaapply tuu mkopo kipekeako pekeako,jaribu kushilikiana na wenzako kujua zaidi...
Asante Mkuu. Mimi namjazia mdogo wangu kwasababu yupo JKT kwa mjibu wa sheria na hii kazi nafanyia ofisini simfahamu mwanafunzi hata moja mtaani. Mimi sijaprint bado niliogopa maana ilikuwa inatoa alert kwamba ukiprint huwezi tena kufanya marekebisho yoyote!

Je hakuna kosa nikiprint? Maana nimejaza hadi kipengele namba 10 ndo sehemu inayohitaji hizo attachments

Msaada tafadhali wakuu!
 
mwakajingatky

mwakajingatky

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2018
Messages
407
Points
1,000
mwakajingatky

mwakajingatky

JF-Expert Member
Joined May 30, 2018
407 1,000
Hakikisha kama taarifa ni sahihi..kama ni sahihi print..thwn itapelekwa kwa ofisi ya mtaa kwaajili ya kusaini na mihuli,then kwa mawakili,then utascan na kuappload page namba 2 na 5,
 
Nonji

Nonji

Member
Joined
Nov 22, 2017
Messages
23
Points
45
Nonji

Nonji

Member
Joined Nov 22, 2017
23 45
Hakikisha kama taarifa ni sahihi..kama ni sahihi print..thwn itapelekwa kwa ofisi ya mtaa kwaajili ya kusaini na mihuli,then kwa mawakili,then utascan na kuappload page namba 2 na 5,
Thanks mkuu. Kuna tatizo pia nimelinote! Kitambulisho cha mama ambaye nimemuweka kama mdhamini jina la mwisho kwenye kitambulisho cha kura limetofautiana na jina la mwisho kwenye cheti cha mtoto yaani jina la mama yake!! Wakuu hapa kutakuwa na madhara?
 
mwakajingatky

mwakajingatky

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2018
Messages
407
Points
1,000
mwakajingatky

mwakajingatky

JF-Expert Member
Joined May 30, 2018
407 1,000
Thanks mkuu. Kuna tatizo pia nimelinote! Kitambulisho cha mama ambaye nimemuweka kama mdhamini jina la mwisho kwenye kitambulisho cha kura limetofautiana na jina la mwisho kwenye cheti cha mtoto yaani jina la mama yake!! Wakuu hapa kutakuwa na madhara?
Hapana sizani kama kunatatizo...
 
Forum statistics

Threads 1,313,889
Members 504,678
Posts 31,807,282
Top