Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,333
- 3,896
dox tu basi?Kunywa dox kwa muda wa miezi miwili kila siku kimoja huo ugonjwa ulinisumbua sana lakini hatimaye baibai
Sent using Jamii Forums mobile app
dox tu basi?Kunywa dox kwa muda wa miezi miwili kila siku kimoja huo ugonjwa ulinisumbua sana lakini hatimaye baibai
Sent using Jamii Forums mobile app
Dox au chrolofenical au athromycin dose ni dawa poa sanadox tu basi?
Thanks.Ugonjwa wa mapele makubwa kisogoni kwa wanaume wanene - JamiiForums
Ugonjwa wa kutokwa vipele kisogoni - JamiiForums
pitia nyuzi hizo juu utaujua vizuri.
Mr Ngoma plz naomba namba yako kak au namba za huyo dokta au nichek+255766280271Kaka kwa vipele hivyo sahau ""DAWA maana mimi nilishakwenda mpaka nje ya nchi but ckupona....ila nilienda arusha kwa Dr Njela ana kitengo kwa ajili ya kuviondoa na anavifaa maalumu vya kuvinyofoa then atakupatia dawa za kupaka aina mbili...kwishaaaaa mie nipo poa sasa.
Hivi vipele huwa sio kuuma tuu bali humshusha mtu thamani nakujiskia kama hayupo sawa mbele ya watu wake wa karibu...
Kama naomba namba yakoKaka kwa vipele hivyo sahau ""DAWA maana mimi nilishakwenda mpaka nje ya nchi but ckupona....ila nilienda arusha kwa Dr Njela ana kitengo kwa ajili ya kuviondoa na anavifaa maalumu vya kuvinyofoa then atakupatia dawa za kupaka aina mbili...kwishaaaaa mie nipo poa sasa.
Hivi vipele huwa sio kuuma tuu bali humshusha mtu thamani nakujiskia kama hayupo sawa mbele ya watu wake wa karibu...
Tumia Doxycyline unakula kutwa mara 2 na Griseafulvin unakula kutwa mara 1 ivyo ni vidonge na ukikoga koga kwa maji ya uvugu uvugu kuna sabun inaitwa dalan antibacteria, deodorant soap inasuguwa povu lake vya taulo na pia ukimaliza kuna dawa nitakufahamishaWadau kuna hivi vipele sugu nyuma ya kisogo,,vinasumbua sana kwa mda sasa,,ipi dawa yake na wapi naweza kutibiwa?
Hivi hapaHabari ya jioni ndugu zangu
Hivi vipele vimenianza sio muda mrefu Sana
Nilikua nnauliza Kama kunanjia yoyote asilia yakufanya ili vipotee
Au hata dawa za hospital pia ambazo Ni msaada ningeomba kuambiwa pia
Nnatanguliza shukrani kwenu.
qmmk umeme huo mkuu
Hapana Ni kwasabab ya saloonqmmk umeme huo mkuu
Q. Can Acne Keloidalis Nuchae Be Treated Naturally?
Ndugu zangu ndani ya JF habari zenu.
Mimi nina matatizo ya vipele mwisho wa nywele za kichwani upande wa kisogoni ambavyo vinatokana na kunyoa.
Nimepata ushauri kwa madaktari mbalimbali juu ya dawa za kutumia bila mafanikio.Kama kuna mtu anajua ni namna gani naweza kutibu na pia kuzuia visitokee tena naomba tuwasiliane humu JF....
Vp maendeleo?View attachment 392551 mkuu nimezipata hizo dawa wacha nianze kutumia