vipele vidogo vidogo mikononi kwangu

sawa mkuu ngoja niondoke dar likizo nione
Ila pia kuna kitu Iringa wanaita msango au ndo mchango sijui jaribu kuwaonyesha wananchi wa kawaida hiyo aina ya vipele au pigia ndugu zako wa Iringa vijijini waulize kuhusu msango/mchango uone kama wenyewe watakupa dawa zake zinatokana na miti kabla haijapelekwa kiwandani kutengenezwa tena kuwa dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kaka kwa kifupi usipuuzie huo ugojwa. Mdogo wangu alianza kama wewe lkn tumesota nae sana hadi KCMC. Waone madaktari na uanze tiba mapema. Usiwaze magojwa magumu kama kaswende wala HIV. Mwili unaweza kureact kwa sumu na kutoa upele mwili wote.
IMG-20190225-WA0008.jpeg
IMG-20190225-WA0007.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatumia mafuta gani ya kujipaka? Mimi niliteseka sana na vipele kama hivyo nikiwa chuo vilikuwa vinanitokea mikononi vinapotea baada ya muda vinarudi tena...nilitumia dawa nyingi bila kuona matokeo mwisho nikasema basi ni maumbile yangu, sikujua tatizo ni nini. Kipindi hicho nilikuwa najipaka cocoa butter, nilikuwa nayapenda sana hayo mafuta. Nilipoanza kazi sikuwa natumia tena hayo mafuta na sikuwa napata vipele, ila mwaka juzi nikayakumbuka mafuta yangu nikayanunua kutumia mara moja tu kesho yake vipele hivyo vimerudi ndio nikagundua nina allege nayo japo ni mafuta mazuri sana. Ilibidi nifanye research ndio nikagundua kuna watu huwa wana allergy na cocoa butter na mimi ni mmoja wapo. Jaribu kuacha mafuta unayotumia kwanza uone kama vipele vitapotea.
 
Hebu jaribu kupitia hapa. Katika hatua hii uliyoonyesha, nunua binzali asili na ikaushe na kuisaga kupata unga. Tumia kijiko kimoja kwenye kikombe cha chai (maji ya moto kidogo sio chai) mara mbili na nyingine changanya kwenye maji na paka sehemu ulipo huo upele.
Ugojwa huo kama hautakuwa Lichen Planus basi utumie hiyo dawa niliyokuwekea pale juu (paketi na hiyo ya kopo)
Screenshot_20190321-194214.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila pia kuna kitu Iringa wanaita msango au ndo mchango sijui jaribu kuwaonyesha wananchi wa kawaida hiyo aina ya vipele au pigia ndugu zako wa Iringa vijijini waulize kuhusu msango/mchango uone kama wenyewe watakupa dawa zake zinatokana na miti kabla haijapelekwa kiwandani kutengenezwa tena kuwa dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa ngoja nifanye hivyo
 
Unatumia mafuta gani ya kujipaka? Mimi niliteseka sana na vipele kama hivyo nikiwa chuo vilikuwa vinanitokea mikononi vinapotea baada ya muda vinarudi tena...nilitumia dawa nyingi bila kuona matokeo mwisho nikasema basi ni maumbile yangu, sikujua tatizo ni nini. Kipindi hicho nilikuwa najipaka cocoa butter, nilikuwa nayapenda sana hayo mafuta. Nilipoanza kazi sikuwa natumia tena hayo mafuta na sikuwa napata vipele, ila mwaka juzi nikayakumbuka mafuta yangu nikayanunua kutumia mara moja tu kesho yake vipele hivyo vimerudi ndio nikagundua nina allege nayo japo ni mafuta mazuri sana. Ilibidi nifanye research ndio nikagundua kuna watu huwa wana allergy na cocoa butter na mimi ni mmoja wapo. Jaribu kuacha mafuta unayotumia kwanza uone kama vipele vitapotea.[/QUOTEnikweli naamini kabisa kwasababu nilikua natumia vaciline nimeacha wiki iliyopita baada ya kupata ushauli kwa watu sahisi naona haviwashi vinazid kupotea
 
nikweli naamini kabisa kwasababu nilikua natumia vaciline nimeacha wiki iliyopita baada ya kupata ushauli kwa watu sahisi naona haviwashi vinazid kupotea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom