Vipaumbele vyetu ni nini…Nyumba ya Gavana (HAPANA)

Who told you treasury bill and deposits are risk free? Or better yet who told you they are less risky than a buying a house in a prime area like Oysterbay?
naona wewe unaleta mambo ,......., kama vile tulivyokuwa tunakua ukisikie something ltd unasema ile kampuni haifilisiki kumbe liability ipo ltd to the contributors/shareholders, sasa kama unaona treasury bill sio risk free kama nyumba unaweza ukagoogle ukapata taarifa.
pili motive ya kujenga nyumba ya governor ni nini? it's investment potential or makazi..
kama ni makazi ndio maana tunaquestion rationale ya hiyo move at that cost.
kama ni investment potential then tusimzingumzie makazi ya governor bali kitega uchumi cha bot ambacho ataka mtu yoyote for the right price.
 
Why should I google? You google and post answers here since you are the one making the claim. Second, a house can be a residence and also an investment. The two aren't mutually exclusive as you seem to believe. This happens in Tanzania, and it happens in many other places including the developed world. People buy or build homes to live in then after X number of years, they sell the home for more than what they paid for it.
 
tatizo la maono yako katika individual level badala ya kuwa katika institutional level ndio maana fikra zako na majibu yako yapo that much shalow, bot ikifikiria investment sio nyumba moja ya kukaa governor, ni tofauti na wewe kama mtu moja unavyo weza kufikiria au kufanya, kufikiria hivyo, ndio maana taifa hili linapotea na mtu kama wewe unaona sawa maana muono wako havuki dirisha la chumba unacho lalia. Barclaya walivyo fika Tanzania umeona wanajishughulisha na Ujinga kama huu, wao walijenga Ofisi pale TDFL kama kutangaza biashara na kuwa Ofisi zao.
Stanbic umeona walikaa pale Sukari House as Head Office then what wamejenga makao makuu yao kwenye Corner ya Kinondoni Road, hao ndio watu/institution zinazofikiria widely na kitu kinacho leta positiveness katika shughuli zao.
 
How are the living accommodations of heads of those other institutions you hold in such high esteem? Can you tell us about them? Are their living accommodations modest, do they live in Uswazi? Please enlighten us.
 
Hivi hizi nyumba zitajengwa ngapi? Akija kila gavana mpya anajengewa nyumba mpya?

Jasusi ujenzi wa nyumba za aina hii zitakoma pale Chama Cha Mafisadi kitakapokoma kutawala Tanganyika. Wameona serikalini wamejiuzia nyumba za Oysterbay na kwingineko. Kwa taarifa yako huu ni mpango wa Gavana na manaibu wake watatu kujiuzia hizo nyumba kwa bei chee hapo baadaye wakati watakapoachia ngazi. Kukata kidomodomo cha wafanyakazi wengine, mikopo ya ajabu ajabu imeidhinishwa ambapo hata mesenja atapata mkopo wa Tsh 30 millioni kwa ajili ya kujengea nyumba.

Kigumu Chama Cha Mafisadi
 
An asset is anything that can be easily converted into cash. The governor's house is an asset and a very valuable one due to its location. If we sell the house today, taxpayers will make a profit. End of story.

Pole baba, imejengwa ili IUZWE au AISHI Gavana???? mantiki yako iko wapi???
 
How are the living accommodations of heads of those other institutions you hold in such high esteem? Can you tell us about them? Are their living accommodations modest, do they live in Uswazi? Please enlighten us.

Hizo benki ni businesses zinazojitegemea, zina wenyewe, sio mali ya umma au serikali ya kimasikini. Ni busara na hekima kuangalia watu wanaokuzunguka wakoje, wale wanaokuchangia, sasa wanapofika mahali wakaanza kushangaa unavyotumia yale wanayokuchangia, busara inataka ujipime na upange kulingana na mazingira.
 
Nimekuwa nikiangalia baadhi ya habari na imenisikitisha sana Uamuzi wa Gavana wa Tanzania kutumia fedha nyingi kukarabati/kujenga nyumba ya kuishi YEYE. Yaani kupewa tu nafasi hiyo anataka aishi nyumba ya kifahari. Je alikuwa wanaishi kwenye nyumba ya kifahari kabla ya kupewa cheo hicho? Ingekuwa fedha hizo zinatoka mifukoni mwake angejenga nyumba hiyo ya kifahari? Hakuna mtu asiyependa maendeleo lakini tuwe na huruma, hivi wewe GAVANA hujaishi maisha ya mtanzania ya kijijini? Huoni shida wanazopata wananchi wa kijijini? Na sio tu kijiji mijini pia kuna shida pia ambazo Serikali inasikilizia kutatua. Inaweza kuwa Benki Kuu labda haihusiki moja kwa moja na kutatua matatizo ya mwananchi basi Vipaumbele vya Benki kuu nini? Kujenga nyumba ya Gavana? (Jibu langu ni HAPANA lakini la Prof.Ndulu ni NDIYO). Waliomweka huyu Prof. Ndulu madarakani wanasemaje kuhusu suala hili? Tumekaa kimya tunawasubiri waseme… wanatakiwa kuwajibika kwetu kwa hiyo tunawasubiri. Tanzania ni nchi ya ajabu baadhi wa watu wachache (Viongozi) wenye madaraka na nguvu wameamua kujifanya wenyewe sio sehemu ya Matatizo ya Watanzania. Angalia

1.Tatizo la barabara mbovu (Wanajinunulia mashangigi). Mwananchi wa kawaida shauri yako

2.Uduni wa shule zetu (Wanasomesha watoto nje ya nchi). Mwananchi wa kawaida shauri yako

3.Uduni wa mahospitali na huduma za afya (Wanaenda nchi za nje kutibiwa) Mwananchi wa kawaida shauri yako

4.Umeme unakatikakatika (Wana majenereta au haukatwi sehemu wanazoishi). Mwananchi wa kawaida shauri yako

5.Orodha inaendelea

Ewe Kiongozi wa Tanzania ACHA UBINAFSI na yule aliye kijiji au anayepata hizo shida ni Mtanzania/binadamu kama wewe. Ulichaguliwa au kupewa hayo madaraka kumtatulia shida zake na sio shida zako. Ni hayo kwa leo wajameni.

Ndugu yangu utatoka mchozi bure ikiyataja yote, viongozi wetu wameingiliwa na shetani mbinafsi sisi wananchi tunakwisha na shida zetu wenyewe.
Yaani wamekuwa malimbukeni utafikiri wanafanya mashindano ya matanuzi kwa pesa yetu ya kodi jamani muogopeni hata mwenyezi mungu wandugu.

Mtanzania wa hali ya nchini naye ana roho na mwili anataka kuishi walau 5% tu ya maisha yenu - sasa mnanyonya hadi tone la damu yake ya mwisho ili akate roho? Akifa mtatawala miti? na kwa ubaya gani aliowafanyia? aaa inatika huruma sana as if sisi hatuna haki kwenye nchi yetu bwana?

Haya majumba ni makaburi yenu na hayo mashangingi ni majeneza, siwaogopeshi ila fanyeni kazi mliyotumwa na watanzania, mtahukumiwa vibaya sana na mwenyezi mungu - acheni kumchezea mungu mnaapa kwa viapo vya kidini huku mmeshikilia misahafu na biblia then mnakejeli hadi makanisani na misikitini?

Nguvu ya mungu ipo na mtajuta siku moja haya nayowaambia, endeleeni kuchezea pesa za watanzania walipakodi watanzania maskini, fukara, mshatufanya mandondocha kwenye ardhi yetu - mungu atatuonea huruma one day na ATAJIBU MAOMBI YETU.
 
If we buy food for the hungry people, next month or next year they will be hungry again. On the other hand, the governor's house is an asset that will yield a profit for a long time. Think people don't just complain because you are jealous someone has something and you don't. You want BOT governor to live in Uswazi like you? Never. We will keep doing what we are doing and if you don't like it go jump in the ocean. Let adults run the government as they see fit.

You’re not Tanzanian, better go to your home land and tell your people this garbage.

ungekuwa mtanzania mzawa ungepata uchungu na pesa za walipa kodi maskini, 1b for a house.... give me a break.
 
Who told you treasury bill and deposits are risk free? Or better yet who told you they are less risky than a buying a house in a prime area like Oysterbay?

Wewe umesoma kweli au unapayuka tu. T/Bills is a promisory note or financial claim guaranteed by the government to pay in 90 days. huwezi ukaicompare na nyumba ambayo ni fixed assets ambayo ununuzi wake unategemeana na market demands. Kwanza jiulize kabla hujajibu ni wangapi Tanzania they can afford a house worth $1 Million (assuming that depreciation haijapply). Tukitia na depreciation value ya hiyo nyumba hushuka zaidi ya hapo. sasa jiulize je tumepata faida au hasara. Unataka kunambia Ndulu atakaa katika hiyo nyumba amelalia sakafu? au amelalia ukuta kuhofia asiharibu nyumba???

Halafu mtazamo wako ni finyu wewe unadhani BOT wanajenga nyumba for profit. unapozungumzia yield kaa ujiulize ndani ya yield kuna buying and selling price. Selling price yako umeiweka vipi???
Pt = Pi (1+r)nt sasa unataka kunambia Pi ni kiasi gani mzee maana ndio cost uliyoincur kujenga nyumba jumlisha na matumizi ya nyumba weka na kajinterest kako so nyumba ya Ndulu tuambie baada ya miaka yake mitano au kumi ina thamani gani??? na Interest unaitazama vp. Ndio mdau August akakuambia nyumba ni risky asset kwasababu kuna vitu vingi vinaingia. Land value za Tanzania ni speculative. Wauzaji hawako realistic (yaani cost za majengo ni highly inflated) sasa lazima na uuzaji uwe mgumu.

Mambo hayo kamuhadithie mtu wako wa nyumbani usiyalete hapa JF
 
If we buy food for the hungry people, next month or next year they will be hungry again. On the other hand, the governor's house is an asset that will yield a profit for a long time. Think people don't just complain because you are jealous someone has something and you don't. You want BOT governor to live in Uswazi like you? Never. We will keep doing what we are doing and if you don't like it go jump in the ocean. Let adults run the government as they see fit.
..You better consult a doctor!!
 
Mervyn King Residence, £420,000, Capitol Hill Ben Benarke House $549,000, Governor of Tanzania $1, Million Fanya comparison hapo MAnji Supporter Walioendelea kiuchumi wana uchungu na nchi zao sie twatafuna kama vile maji ya kunywa.
 
Naomba kuongeza jambo kidogo juu ya suala la nyumba ya Gavana kukarabatiwa kwa BILIONI 1.4,Kwa wale waliopitia magazeti ya leo naamini wamekutana habari ya Mkuu wa wilaya ya kinondoni kwenda kutembelea wodi ya kujifungulia kina mama pale mwananyamala hospitali na kukuta wakina mama wamejifungua lakini wamelazwa chini a.k.a sakafuni, hawa ni kina mamazetu tena ndani ya jiji hili la dar es salaam, sasa najiuliza ni kwamba viongozi wetu wamekosa utaifa ama matumizi haya makubwa ya fedha za wananchi ni halali yao kwa kuwa wana vyeo vikubwa ama nini hasa tatizo jamani,mbona nchi hii imejaa sintofahamu nyingi.
 
Sio kukarabatiwa sis (samahani ikiwa ni mwanaume) bali kujengwa from scratch but still 1.4 Billion is unjustifiable hata kama wanatupa receipts zote. Tanzania inasuffer from an economic recession. Njaa nayo inatuandama, hatuzalishi kitu na viwanda vyetu vimekufa na kuota kutu, Life expectancy ya mtanzania inakisiwa kuwa miaka 45 kwenda chini, watu 1,000 wameambukizwa ukimwi kwa miezi mitatu tu! katika wilaya moja ya Tanzania. Inflation 12%. Halafu anasimama Gavana wetu anadai eti Billioni moja ni justifiable come on!!!.

Ben Benarke mwenyewe anasikilizia impact ya recession ameenda ku-renegotiate mortagage yake wewe unajengewa nyumba bure unakaa bure kwa hela za walipa kodi mwisho wa siku tutasikia na nyumba umeuziwa eti mchango wake kwa Taifa
 
Tusubirie akiondoka madarakani tusikilizie bei atakayouziwa nyumba kama wenyewe hatujazirai humu JF eti mchango wake kwa Taifa....
 
Kuna wakati wakina Susan Sarandon walipitisha kibakuli kutuchangia hela za kununua vyandarua pale Davos baada ya hotuba ya Mkapa kuhusu uduni wa nchi yetu! Vyandarua vinatushinda lakini tunajibu kwa jeuri kuwa kwani sh. bilioni moja ni nini!

Amandla.....
 
Wewe umesoma kweli au unapayuka tu. T/Bills is a promisory note or financial claim guaranteed by the government to pay in 90 days. huwezi ukaicompare na nyumba ambayo ni fixed assets ambayo ununuzi wake unategemeana na market demands. Kwanza jiulize kabla hujajibu ni wangapi Tanzania they can afford a house worth $1 Million (assuming that depreciation haijapply). Tukitia na depreciation value ya hiyo nyumba hushuka zaidi ya hapo. sasa jiulize je tumepata faida au hasara. Unataka kunambia Ndulu atakaa katika hiyo nyumba amelalia sakafu? au amelalia ukuta kuhofia asiharibu nyumba???

Halafu mtazamo wako ni finyu wewe unadhani BOT wanajenga nyumba for profit. unapozungumzia yield kaa ujiulize ndani ya yield kuna buying and selling price. Selling price yako umeiweka vipi???
Pt = Pi (1+r)nt sasa unataka kunambia Pi ni kiasi gani mzee maana ndio cost uliyoincur kujenga nyumba jumlisha na matumizi ya nyumba weka na kajinterest kako so nyumba ya Ndulu tuambie baada ya miaka yake mitano au kumi ina thamani gani??? na Interest unaitazama vp. Ndio mdau August akakuambia nyumba ni risky asset kwasababu kuna vitu vingi vinaingia. Land value za Tanzania ni speculative. Wauzaji hawako realistic (yaani cost za majengo ni highly inflated) sasa lazima na uuzaji uwe mgumu.

Mambo hayo kamuhadithie mtu wako wa nyumbani usiyalete hapa JF

The government can default on bills, inflation could hit and whatever money the government promised you could be worth less by the time your bills mature. So I'll ask you the same question I asked August, who told you there are no risks in government bills or that they are less risky than a house in a prime area like Oysterbay?
 
Hizo benki ni businesses zinazojitegemea, zina wenyewe, sio mali ya umma au serikali ya kimasikini. Ni busara na hekima kuangalia watu wanaokuzunguka wakoje, wale wanaokuchangia, sasa wanapofika mahali wakaanza kushangaa unavyotumia yale wanayokuchangia, busara inataka ujipime na upange kulingana na mazingira.

If taxpayers will make a profit when the house is sold why is that a bad thing? It will help our poor country.
 
Mervyn King Residence, £420,000, Capitol Hill Ben Benarke House $549,000, Governor of Tanzania $1, Million Fanya comparison hapo MAnji Supporter Walioendelea kiuchumi wana uchungu na nchi zao sie twatafuna kama vile maji ya kunywa.

Those people will do the job for free if they could afford it because those are powerful positions. You can't compare them to governor of BOT. It's easier to attract and retain talent to those positions. Ask yourself will King or Bernanke stay in cheap house if they worked for BOT?
 
Back
Top Bottom