Vipaumbele vya Rais Magufuli ni vipi baada ya kuapishwa?

Jana tarehe 05/11/2020 kwenye hutoba yake fupi sana Mheshimiwa Rais John Magufuli, alisema jambo moja tu, tunaenda kukabiliana na ufisadi.

Ndugu wananchi ni lini Rais atatoa hutuba ya Taifa ya dira ya miaka mitano?
Kujenga reli kwenda kwake chato
 
Kwa hiyo mlitaka Magufuli awe mungu asikosolewe wala kuhojiwa? Au kuwa rais kupitia CCM ni kuwa rais wa Wana CCM tu na sio taifa zima?

Hiyo ilani ni ya chama chenu, to me is more than rubbish.

Mangapi ameyafanya Magufuli na hayako kwenye ilani ioiyomweka madarani 2015?
We jamaa jinga sana!
Kama unaona ilani ya ccm ni rubish unaulizia vipaumbele vya rais vya nini sasa?

Aisee.. Yani Lisu kumbe alikuwa anategemea watu wajinga kiasi hiki wampeleke Ikulu?
 
Jana tarehe 05/11/2020 kwenye hutoba yake fupi sana Mheshimiwa Rais John Magufuli, alisema jambo moja tu, tunaenda kukabiliana na ufisadi.

Ndugu wananchi ni lini Rais atatoa hutuba ya Taifa ya dira ya miaka mitano?

Kujenga uwanja mpya Mkubwa wa mpira dodoma ili atakapokuja kuapishwa tena 2027 tujae wote maana wengine tulishindwa ingia jana uwanja ni Mdogo hautoshi.
Pili ndege tano mpya hizo hazitoshi atununulie kila mkoa na ndege zake na ka international kake ili kila mtza apande ndege
 
Mambo yote yapo kwenye ilani ya chama chake wameeleza kila kitu watakochoenda kukifanya katika kila sekta
Barabara zote watakazojeng, hospitlai zote, kila njama imeeleza ipasavyo
Honestly jamaa wanajua wamefanya nini Na wanaenda wapi iko na page 300

ILANI IPO GOOGLE KAICHUKUE
Jamaa anajua wanafanya nini na wanaenda wapi una maana hata kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji kwa wapinzani huwa anajua anafanya nini na anaenda wapi siyo?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kumbe tunahangaika na enye chuki binafsi.
Haya tunakuachia Uzi wako wasubri wenye chuki binafsi wenzako mje kuendeleza unafiki.
Chuki binafsi ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani? au chuki binafsi ni uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wapinzani? au chuki binafsi ni kuiba kura uchakachuaji kwa njia haramu za kishetani? au ni chuki ipi unaiongelea?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hakunaga Swali la kisenge kama hili
Ngoja ukue alafu siku uje upitie replies zako humu UTAJUTA sana

Kwhyo tusijenge Bandari ziwa Victoria kwakua haitakua na msaada kwa watu wa ushiirombo moshi ?
Usijidai kutumia lugha ya kishetani kukataa swali kwa njia haramu za kishetani, kwani hiyo Bandari inajengwa kwa Hisani za CCM? au kwa pesa binafsi tokea mfukoni mwa CCM? au ni pesa za walipa kodi wote Nchini
 
  • Thanks
Reactions: PNC
1. Fly over 8 Dar
2. Kununua ndege 6 kwa cash
3. Arusha kuwa karifonia
4. Wamachinga kuchukua mikopo kwa vitambulisho vya machinga visivyo na picha wala jina
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kasome ilani mkuu,tatzo wakat wa kampen mlisema hamuangalii tbc ungejua fira yake ni ipi,ila ulishupaza shingo hapa jf kusema NiYeye
 
Hakunaga Swali la kisenge kama hili
Ngoja ukue alafu siku uje upitie replies zako humu UTAJUTA sana

Kwhyo tusijenge Bandari ziwa Victoria kwakua haitakua na msaada kwa watu wa ushiirombo moshi ?
Upinzani usioona chochote kizuri kilichofanywa na serikali ndio huu wa team Tundu Next Man . Ndio maana wale werevu mapemaaa waliamua kuachana nao na kuunga mkono juhudi za rais
 
Upinzani usioona chochote kizuri kilichofanywa na serikali ndio huu wa team Tundu Next Man . Ndio maana wale werevu mapemaaa waliamua kuachana nao na kuunga mkono juhudi za rais
Kizuri kipi kwa mfano? Maana miradi yote mikubwa ina ufisadi mkubwa mapungufu makubwa na kuna 10% zenu na wewe ni mnufaika wa tenda zote ndogo ndogo
 
Kizuri kipi kwa mfano? Maana miradi yote mikubwa ina ufisadi mkubwa mapungufu makubwa na kuna 10% zenu na wewe ni mnufaika wa tenda zote ndogo ndogo
Thibitisha kwa numbers sio maneno
 
Back
Top Bottom