Vipaumbele vya CCM vikoje? Dr. Bilal Ardhini, Salma Kikwete Angani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipaumbele vya CCM vikoje? Dr. Bilal Ardhini, Salma Kikwete Angani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Brooklyn, Oct 11, 2010.

 1. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Wadau hebu tusaidiane. Inawezekana mimi ndo sina habari sahihi, kwa sababu pengeni sikufuatilia michakato ya uchaguzi ndani ya CCM na hata sifuatilii kampeni zao!

  Nijuavyo, Dr. Bilal ni mgombea mwenza wa JK na mambo yakiwaendea shwari mnamo October 31, Dr. Bilal anakuwa makamu wa Rais wa JMT. Huku kwa upande wa pili Mama Salma ni mmoja kati ya wake za JK, Lakini cha kushangaza Mama Salma anapewa efficient and fast means of transport and other state of art facilities kwenye kumkampenia mumewe wakati Dr. Bilal anapigwa na vumbi mbugani.

  Kwa kweli hili limenishangaza sana mpaka najiuliza Mama Salma anagombea cheo gani katika yuchaguzi ujao?

  Na kama ni kumkampenia mumewe, mbona bi wadogo siwasikii wakimkapenia JK? AU nao wanafanya kampeni za ndani na media hazina access??
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Kama ulivyosema vipaumbele vya CCM, hujakosea
  Kwao family ni bora kuliko jumuia. yaani miguu minne ni mizuri lakini miguu miwili ni mizuri zaidi.

  Hebu pata picha, hapo amekaa makamba, pembeni kinana, shimbo yupo mlangoni unadhanni utatoka vipi hapo?

  Ila ninachohofia endapo ccm wataiba kura na kubakia madarakani na huyu mama atembelee ofisi ya vice na kudemand asomewe ripoti ya utekelezaji wa ilani ya ccm na shughuli za serikali......
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ... Myaaau! Myaaaaau! Atajiju nani alimwambia asikomae na urais wa zanzibar. Shauri yake..
   
 4. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Dotto hata mimi nahisi hapo DR. Bilal alichemka kutoa jina lake kwenye kinyang'aniro cha Rais wa Zanzibar. Naamini Rais wa Zanzibar ananguvu kuliko makamu wa Rais wa JMT. Sema CCM waliogopa wangempitisha Bilal basi muungano ungeelekea kuvunjika kutokana na misimamo ya Dr. Bilal.

  Tunakoelekea Mama Salma anaweza kuwa na nguvu kuliko hata baraza la mawaziri, pengine hata Rais mwenyewe. Hii inatokana na milolongo ya matukio katika awamu ya kwanza ya JK ambapo first lady huyu alikuwa akisomewa taarifa za maendeleo za wilaya na sehemu zingine alikaririwa akiwafokea baadhi ya wakuu wa wilaya.

  Hata gazeti la Mwanahalisi liliwahi kukiri kuitwa kwa Mkurugenzi wa Habari, wizara ya Habari na Utamaduni na kupewa amri ya kutoendelea kuhoji nafasi ya first lady huyo!!
   
 5. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  JK akiwa Raisi Mkwewe atakuwa WAziri MKUU, RIdhiwani .. Waziri wa Madini na Nishati, Miraji ......... Ulinzi na Usalama....
   
 6. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mmmhh!
   
 7. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,026
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Tunakoelekea hiyo miaka 5 wanaweza hata kutubinafsisha na sisi. ufisadi wao hata hawaogopi kabisa. Hutu mama anaweza kuja kuwa kama yule wa Kenya. maana hana madaraka anayogombea lakini kapewa rungu hivi,
  Tusubiri
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  alishawai kutoa maagizo sijui ni wapi mpaka watu wakashangaa huyu mama anajua mipaka yake au anaropoka tu kama yuko kwenye kitchen party
   
 9. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  mtoto wa kike lazima apae, si unajua tena mambo ya vumbi na vitu kama hivyo
   
Loading...