Vipaumbele vya CCM ni kutupatia huduma au Lissu?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,490
96,054
Wana bodi,

Watanzania tulio wengi tunajiuliza hivi nini vipaumbele vya CCM ni kutupatia huduma watanzania au kupambana na wapinzani hasa Tundu Lissu? Angalia watu wanavyohangaika na maji lakini wao wapo busy na kuwabana wapinzani.
a3fe160e179cc7927535532e64a476c3.jpg
 
Kipaumbele ni kupambana na upinzani TU mambo ya maendeleo mtajua wenyewe.

Kwani mRinichagua niwaRetee maendeReo?
 
Hatutaki anaetuumuza vichwa na kutuumbua, Tumeamua yeye awe kipao mbele chetu ili ajute kua mjuaji. hahahah am joking
 
Muda wa kuwaza huduma kwa wananchi bado saana. Ukianza leo ikifika 2019 si tutakuwa tumefilisika na watu weshasahau?? Tupambane na huyu digi digi kwanza, anakata mno mbegu zetu zinazomea.
Mtakoma mwaka huu hadi ikifika 2019 mmeshaishiwa nguvu. Wapinzani, msishindane na wenye dola
 
Back
Top Bottom