Hahahahahahaha....hilo neno la juu kabisa limekua ni mbadala wa hili pia vio-ngoziTuna Mavi-ongozi yanayoamini kwamba maendeleo ni kwenye vitu na siyo kwenye human security and development! Twafaaaaaaa,, na wachumi-a-tumbo wetu wanamwogopa mkulu kama ukoma! Naamini hata akiyaangalia usoni huwa yanainamisha vichwa!