VIPAUMBELE VINNE:-MAGUFULI - Vs - Lowassa.

1. KUONDOA UMASKINI - Vs - Kumfufua Balali

2.KUPUNGUZA TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA HASA KWA VIJANA - Vs - Kuwafungua watuhumiwa wa ubakaji (Babu Seya)

3. VITA DHIDI YA RUSHWA NA UBADHILIFU WA MALI YA UMMA - Vs - Mabadiliko

4.KUDUMISHA AMANI, ULINZI NA USALAMA - Vs - Kuwafungua wachoma makanisa

Source:- Ilani anayoinadi Magufuli ukurasa wa 3.

WATANZANIA HATUMCHAGUI MCHEZA SEGERE.!!RAISI BORA HUPIMWA KWA SERA BORA!!

Bora ungezaliwa kuwa baamedi tu.
 
Nimekuja Marekani hapa.Wamemeshaanza kumtafuta mrithi wa Obama 2016.Sisi Tanzania tunachelewa sana kuwafahamu na kuwapima wagombea,matokeo tunaishia kwenye kumpigia MTU kwa mahaba badala ya Sera.Tunaingiza ushabiki wa Simva na Yanga kwenye siasa.Shame on us.

Uliyechelewa kufamu ni wewe,sisi tulishafamu kuwa Lowasa anatosha tanga miaka mi8 iliyopita,na vipau mbele vyake ni elimu
 
1. KUONDOA UMASKINI - Vs - Kumfufua Balali

2.KUPUNGUZA TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA HASA KWA VIJANA - Vs - Kuwafungua watuhumiwa wa ubakaji (Babu Seya)

3. VITA DHIDI YA RUSHWA NA UBADHILIFU WA MALI YA UMMA - Vs - Mabadiliko

4.KUDUMISHA AMANI, ULINZI NA USALAMA - Vs - Kuwafungua wachoma makanisa

Source:- Ilani anayoinadi Magufuli ukurasa wa 3.

WATANZANIA HATUMCHAGUI MCHEZA SEGERE.!!RAISI BORA HUPIMWA KWA SERA BORA!!

Sera za ccm ni nzuri sana kwenye makaratasi... Ukifika muda wa utekelezaji mnapotezana kila mtu anatekeleza ya kwake na familia yake...!!

Wapi sera za Mkapa... Wapi za Kikwete... Hata huyu bondia hana jipya! Mtamtendea kama mlivowatendea wengine..!!
Ukizingatia huyu Magufuli kapatikana mfukoni mwa wana "KITENGO"...
 
1. KUONDOA UMASKINI - Vs - Kumfufua Balali

2.KUPUNGUZA TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA HASA KWA VIJANA - Vs - Kuwafungua watuhumiwa wa ubakaji (Babu Seya)

3. VITA DHIDI YA RUSHWA NA UBADHILIFU WA MALI YA UMMA - Vs - Mabadiliko

4.KUDUMISHA AMANI, ULINZI NA USALAMA - Vs - Kuwafungua wachoma makanisa

Source:- Ilani anayoinadi Magufuli ukurasa wa 3.

WATANZANIA HATUMCHAGUI MCHEZA SEGERE.!!RAISI BORA HUPIMWA KWA SERA BORA!!

Ile maisha bora ilikuwaje??

Ilikuwa kuja kubebesha watu unga?? Na Kuuza Twiga?? Na kuua tembo??

Ngoja tuishike hii nchi mtawarudisha Twiga wetu ndo itakuwa hapa kazi tuu kurudisha Twiga

Na natamani kuona Vasco da gama akiishi uhamishoni maana sio siri simpendi kutoka moyoni
 
1. KUONDOA UMASKINI - Vs - Kumfufua Balali

2.KUPUNGUZA TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA HASA KWA VIJANA - Vs - Kuwafungua watuhumiwa wa ubakaji (Babu Seya)

3. VITA DHIDI YA RUSHWA NA UBADHILIFU WA MALI YA UMMA - Vs - Mabadiliko

4.KUDUMISHA AMANI, ULINZI NA USALAMA - Vs - Kuwafungua wachoma makanisa

Source:- Ilani anayoinadi Magufuli ukurasa wa 3.

WATANZANIA HATUMCHAGUI MCHEZA SEGERE.!!RAISI BORA HUPIMWA KWA SERA BORA!!
Mkuu naona hiyo ya kuwafungua watuhumiwa wa ubakaji imetekelezwa na kipenzi chetu..

Aibu,akiba ya maneno muhimu.
Cc: Erythrocyte
 
Lowassa; Nitamtoa Babuseya Gerezani Endapo Nitashinda Uraisi.

ccm; Haiwezekani Acha Kudanganya Umma. 2015

JPM; Nimewasamehe Papi Kocha na Babu Seya.

ccm; Magufuli Oyeeeee. (2017)
 
Hatimaye
1. KUONDOA UMASKINI - Vs - Kumfufua Balali

2.KUPUNGUZA TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA HASA KWA VIJANA - Vs - Kuwafungua watuhumiwa wa ubakaji (Babu Seya)

3. VITA DHIDI YA RUSHWA NA UBADHILIFU WA MALI YA UMMA - Vs - Mabadiliko

4.KUDUMISHA AMANI, ULINZI NA USALAMA - Vs - Kuwafungua wachoma makanisa

Source:- Ilani anayoinadi Magufuli ukurasa wa 3.

WATANZANIA HATUMCHAGUI MCHEZA SEGERE.!!RAISI BORA HUPIMWA KWA SERA BORA!!
Sera ya LOWASA IMETIMIA YA KUMTOA BABU SEYA
 
Back
Top Bottom