VIPAUMBELE VINNE:-MAGUFULI - Vs - Lowassa.

Sadoseba

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
243
91
1. KUONDOA UMASKINI - Vs - Kumfufua Balali

2.KUPUNGUZA TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA HASA KWA VIJANA - Vs - Kuwafungua watuhumiwa wa ubakaji (Babu Seya)

3. VITA DHIDI YA RUSHWA NA UBADHILIFU WA MALI YA UMMA - Vs - Mabadiliko

4.KUDUMISHA AMANI, ULINZI NA USALAMA - Vs - Kuwafungua wachoma makanisa

Source:- Ilani anayoinadi Magufuli ukurasa wa 3.

WATANZANIA HATUMCHAGUI MCHEZA SEGERE.!!RAISI BORA HUPIMWA KWA SERA BORA!!
 
Wewe inabidi umchague Lowassa maana vipaumbele vyake vinakuhusu mno
1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu
 
Nimekuja Marekani hapa.Wamemeshaanza kumtafuta mrithi wa Obama 2016.Sisi Tanzania tunachelewa sana kuwafahamu na kuwapima wagombea,matokeo tunaishia kwenye kumpigia MTU kwa mahaba badala ya Sera.Tunaingiza ushabiki wa Simva na Yanga kwenye siasa.Shame on us.
 
Maisha bora kwa kila mtanzania!
 
Attachments

  • 1443268579217.jpg
    1443268579217.jpg
    19.4 KB · Views: 255
Nimekuja Marekani hapa.Wamemeshaanza kumtafuta mrithi wa Obama 2016.Sisi Tanzania tunachelewa sana kuwafahamu na kuwapima wagombea,matokeo tunaishia kwenye kumpigia MTU kwa mahaba badala ya Sera.Tunaingiza ushabiki wa Simva na Yanga kwenye siasa.Shame on us.
shame on ccm na wafuasi wake and not to all Tanzanians
 
Sokoine alikuwa mchapakazi na mwadilifu.
Unahisi kati ya Magufuli na Lowassa nani anafit viatu vyake?
mkuu mbona unakuwa mgumu kuelewa?watanzania hatuna shida na uchapakazi wa magufuli,shida yetu ni ccm basi.kama vipi mshauri Magufuli ajitoe ccm Kura atapata nyingi tu
 
1. KUONDOA UMASKINI - Vs - Kumfufua Balali

2.KUPUNGUZA TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA HASA KWA VIJANA - Vs - Kuwafungua watuhumiwa wa ubakaji (Babu Seya)

3. VITA DHIDI YA RUSHWA NA UBADHILIFU WA MALI YA UMMA - Vs - Mabadiliko

4.KUDUMISHA AMANI, ULINZI NA USALAMA - Vs - Kuwafungua wachoma makanisa

Source:- Ilani anayoinadi Magufuli ukurasa wa 3.

WATANZANIA HATUMCHAGUI MCHEZA SEGERE.!!RAISI BORA HUPIMWA KWA SERA BORA!!

Zumbukuku wewe
 
Back
Top Bottom