Vipau mbele vya kikwete ktk uteuzi wa cabinet


T

TanzActive

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Messages
350
Likes
0
Points
33
T

TanzActive

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2007
350 0 33
Hivi ndivyo majadiliano kati ya Kikwete, Bilali na Waziri Mkuu yatakavyokuwa wakipanga cabinet :

Kikwete : Safari hii Bwana tunaunda baraza lenye Mawaziri Hamsini, na manaibu 100

Waziri Mkuu: Haaa kwa nini Mkuu ?
Bilali : Hilo kubwa sana mbona ?

Kikwete : Nina washikaji kibao walionisaidi kuchakachua Kura inabidi kila mtu apate

Bilali : Ndio nimekuelewa Mkuu , hata wakuu wa mikoa waliotuangusha tunapiga chini tunaweka wenzetu

Waziri Mkuu: Kinana amefanya kanzi nzuri sana, napendekeza umteue ubunge kisha aingie kwenye cabinate

Kikwete: Of course, Kinana amesaidia sana , lakini Huyo ,watatia majungu sana, kwanza si unajua ni Msomali na zili issue zake zake za Uharamia wa meli zitabumbuluka tukifanya hivyo, mimi naona tumuache katika biashara tutamlinda kwenye biashara zake zile , anatakiwa asipe kodi kabisa , tutamwabia achakachue kumbukumbu za hesabu zake kama kama alivyofanya katika uchaguzi na kuhakisha anapata kazi kubwa kubwa za serikali

Bilali : Vipi Mheshiwa RA , aingie kwenye cabinet ?

Kikwete
: Huyo tutaendele kumruhusu kutolipa kodi kule Voda, tutampa kazi kubwa kubwa na hata mipango mingine ya kumnufaisha tutapanga , si unajua safari Hii Sita hatakuwa spika, hivyo hakuna tuhuma za ufisadi

Inaendelea toleo lijalo…….
 

Forum statistics

Threads 1,235,169
Members 474,353
Posts 29,213,612