Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Apr 22, 2010 #1 Ng'ombe hazeeki maini. Attachments vipaji.jpg 25.6 KB · Views: 219
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,787 Apr 22, 2010 #2 Inapendeza hii Ndibalema!.. Humwibii kuku wake babu huyo, kwa kutegemea kwamba hawezi kukufukuza!
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Apr 22, 2010 Thread starter #3 Lakini inaonekana kama wanacheza mchezo mwingine tofauti kwani kama ni soka mbona mpiri upo pembeni alafu hawana mpango nao!!
Lakini inaonekana kama wanacheza mchezo mwingine tofauti kwani kama ni soka mbona mpiri upo pembeni alafu hawana mpango nao!!
MpigaFilimbi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 1,169 Reaction score 188 Apr 22, 2010 #4 Ndibalema said: Lakini inaonekana kama wanacheza mchezo mwingine tofauti kwani kama ni soka mbona mpiri upo pembeni alafu hawana mpango nao!! Click to expand... Mkuu hujawahi ona chenga inapigana kiasi wote mnautafuta mpira ulipo? Hiyo kwenye mpira wa miguu hutokea mara wa kadha!!
Ndibalema said: Lakini inaonekana kama wanacheza mchezo mwingine tofauti kwani kama ni soka mbona mpiri upo pembeni alafu hawana mpango nao!! Click to expand... Mkuu hujawahi ona chenga inapigana kiasi wote mnautafuta mpira ulipo? Hiyo kwenye mpira wa miguu hutokea mara wa kadha!!
Sajenti JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 3,651 Reaction score 414 Apr 22, 2010 #5 Ndibalema said: Lakini inaonekana kama wanacheza mchezo mwingine tofauti kwani kama ni soka mbona mpiri upo pembeni alafu hawana mpango nao!! Click to expand... ...Mzee mwenye msuli red kapigwa tobo mkuu.
Ndibalema said: Lakini inaonekana kama wanacheza mchezo mwingine tofauti kwani kama ni soka mbona mpiri upo pembeni alafu hawana mpango nao!! Click to expand... ...Mzee mwenye msuli red kapigwa tobo mkuu.
upele JF-Expert Member Joined Mar 3, 2010 Posts 364 Reaction score 31 Apr 22, 2010 #6 mkuu wameshiba tambuu hao we acha umri huo kwetu ni mikojo na everything hapo hapo also ni kuroga tu nothing else big up wazee fulani kazeni msuli uefa mutafika Conquest-Condom inaraha au karaha
mkuu wameshiba tambuu hao we acha umri huo kwetu ni mikojo na everything hapo hapo also ni kuroga tu nothing else big up wazee fulani kazeni msuli uefa mutafika Conquest-Condom inaraha au karaha
MIUNDOMBINU JF-Expert Member Joined Apr 14, 2010 Posts 466 Reaction score 101 Apr 22, 2010 #7 MKUU.emutupatia burudani tosha.
ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,141 Reaction score 951 Apr 22, 2010 #8 Ndibalema said: Lakini inaonekana kama wanacheza mchezo mwingine tofauti kwani kama ni soka mbona mpiri upo pembeni alafu hawana mpango nao!! Click to expand... Mzee chenga hiyo...lazima itakuwa wa kule upande wa pili wa Muuungano "kutufunga mwatufunga lakini chenga twawala ati"...
Ndibalema said: Lakini inaonekana kama wanacheza mchezo mwingine tofauti kwani kama ni soka mbona mpiri upo pembeni alafu hawana mpango nao!! Click to expand... Mzee chenga hiyo...lazima itakuwa wa kule upande wa pili wa Muuungano "kutufunga mwatufunga lakini chenga twawala ati"...