Vipaji halisi.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Ng'ombe hazeeki maini.
 
Attachments

  • vipaji.jpg
    vipaji.jpg
    25.6 KB · Views: 208
attachment.php

Inapendeza hii Ndibalema!..
Humwibii kuku wake babu huyo, kwa kutegemea kwamba hawezi kukufukuza!
 
Lakini inaonekana kama wanacheza mchezo mwingine tofauti kwani kama ni soka mbona mpiri upo pembeni alafu hawana mpango nao!!
 
Lakini inaonekana kama wanacheza mchezo mwingine tofauti kwani kama ni soka mbona mpiri upo pembeni alafu hawana mpango nao!!

Mkuu hujawahi ona chenga inapigana kiasi wote mnautafuta mpira ulipo? Hiyo kwenye mpira wa miguu hutokea mara wa kadha!!
 
mkuu wameshiba tambuu hao we acha umri huo kwetu ni mikojo na everything hapo hapo also ni kuroga tu nothing else
big up wazee fulani kazeni msuli uefa mutafika
Conquest-Condom inaraha au karaha
 
Lakini inaonekana kama wanacheza mchezo mwingine tofauti kwani kama ni soka mbona mpiri upo pembeni alafu hawana mpango nao!!

Mzee chenga hiyo...lazima itakuwa wa kule upande wa pili wa Muuungano "kutufunga mwatufunga lakini chenga twawala ati"...
 
Back
Top Bottom