VIP Protection.!

YALE

JF-Expert Member
Apr 20, 2017
308
379
Wapi kwa nchini panatolewa mafunzo ya Kulinda watu special au Muhimu yani VIP Protection Training Je hawa Public figure wetu kama Bakhersa, Mo dewji, na Wengineo walio na impact kubwa na Jamii security detail yao ikoje je inatoka Serikalini au ni Private company? Mfano Bill Gate serikali ya marekani inampa ulinzi popote alipo licha ya yeye pia kuwa na personal team yake inayomlinda, Nchini hapa hali ikoje?
 
Ukizungumzia public figure lazma uelewe

1.In raia wa taifa fulani sasa utaelewatu kwamba kila mwananchi anahaki ya kulindwa na vyombo vya usalama vya nchi yake popote alipo issue ni kuwa huyu anamchango mkubwa kuliko mtu mwingine/wengine hvyo lazma apewe kipaumbele.

2.Hawa watu huwa wanakuwa na ulinzi wa design mbili moja ni binafsi na ndio huuamini sana kama ni mpinzani wa serikali na mbili wa serikali sababu za vitabu vilivyo kwenye kabati vikikaa sana huwa vinakuwa na vumbi hata kama ni jumba la vioo.

3. We unavyo jifikilia bakhlesa anaweza kukosa ulinzi kutoka TISS kwa jinsi unavyo waza mwenyewe.

4. Chuo cha VIP protection kiko kwenye chuo cha VIP protection.

5. Jamii forum isikufanye ukaingia korokoroni

Akhsante
 
V.I.P protection ni sehemu ya mafunzo ya vip escort ambayo yanajumuisha mambo mengi sana. Sitaki kuingia ndani zaid
 
Back
Top Bottom