Athumanmkalahashein
Member
- Dec 18, 2013
- 14
- 0
Napenda kumshukuru muumba ambaye had sasa napumua,sina ugonjwa,na nina Afya nzuli.napenda kujua nany marafik zang mpo pouwa mwisho huu wa Mwaka?
Tupo "Frash" kabisa. ATM imeishasomeka toka jana
Nashukurun wote kwa jumbe zenu.2po pamoja
Wewe hilo jinalo mbona refu sana kuliko tolu?