Vioo vya Samsung kuanzia S6 Edge ni vya hovyo sana

Vioo vya samsung ni delicate sana, nina J7 pro kioo kimevunjika mara 3, hii mara ya mwisho nilibahatika kiliweka cracke tu..nimeacha ikija kufa ndo bas siwez badilisha tena.

Ila nina Iphone haina hata screen protector ila hakuna hata mkwaruzo
Kuna swali la msingi la kujiuliza hapa,je hizo simu za Samgsung unazozizungumzia ni original?Kwa sababu hakuna kazi ngumu kama kutafuta simu original bongo!
 
Kwani hizi Iphone zinazotumiwa hapa bongo ni OG?? Ujinga wa Iphone ni fingerprint zinafeli sana. Samsung Vioo, tukubali 90% ya watz hawatumii 1st class electronic devices

Sasa kama simu tunazotumia ni fake na refurbished hatupaswi kabisa kalaumu kampuni zinazotengeneza simu hizo kwamba wanatengeneza simu ambazo hazina ubora!
Mkuu we ni don niache nilalamike maana nalalamikia brand iliyoandikwa kwenye device yangu we mshua tumia hizo OG
 
Kwani hizi Iphone zinazotumiwa hapa bongo ni OG?? Ujinga wa Iphone ni fingerprint zinafeli sana. Samsung Vioo, tukubali 90% ya watz hawatumii 1st class electronic devices
fingerprint inakufa baada ya kibadilisha kioo mkuu.

ukiona simu inauzwa fingerprint x jua kioo kilipasuka wakaweka kingine cha simu iliyochakaa au iliyofungwa.

ukinunua kioo kipya og na fundi wao wenyewe,japo utaumia kwa bei lakini fingeprint yako itasalimika.
 
Sio simu za bei rahisi Bali refurbished.

Huo wino ilishatoa toka huko ughaibuni wajanja wakacheza nayo ukaja kupigwa wewe huku.

Kama ulinunua mpya na warranty ya miaka 2 ya Samsung Africa peleka kwa wakala wao itatengenezwa Bure tu.
Naombeni kujua bei ya kioo cha samsung s6edge+ jamani......kile cha superamoled maana naskia siku hizi vipo fake...Naishi dar
 
Kioo si chini ya laki 2 pamoja na ufundi ni around laki 3.

Flagship za zamani Mara nyingi unazipata bei rahisi kuliko kioo.

Hapo tafuta simu iliokufa toa kioo, ama kama una fundi unaemfahamu muulize Kuhusu vioo used kama vinapatikana eneo lako.
 
Hapana mkuu staki kioo kilcho kwisha tumika bora niingie dukani ninunue kioo kipya,Vioo vilivyo toka kwenye simu nyingine naviogopa naombeni mnisaidie duka zuri linalo uza vioo vya hizi simu
 
njoo nikuuzie s6 edge plus nyingine mpya bei ya ofa 350,000. kioo hutopata kizuri ukipata itakuwa gharama around laki 3 bora uj nikuuzie tu simu nyingine
 
Kwani kaka haya uliyoyazungumzia yana uhusiano na ugumu wa kioo cha simu?(Durability).Mimi nilikuwa nataka kukuuliza juu ya ugumu(durability) ya kioo cha simu,mfano nikidondosha simu kioo kisipasuke kwa urahisi.

Yaani swali langu lilijikita kwenye hilo.Mfano nategemea simu aina fulani nikiidondosha kwenye sakafu katika umbali fulani kioo chake kisipasuke lakini simu ya aina fulani nyingine nikiidondosha katika umbali huohuo basi kioo chake kinapasuka.Sasa haya yanapimwaje?
Katika simu ambayo nimeidondosha mara nyingi mpaka kuja kuipasua ni Micromax. Hii simu ina kioo kigumu sana jamani. Na sahizi ina cracks kama 600 ila bado inafanya kazi. Sehem ndg ya kioo upade wa kulia pembeni ndio imefreeze ila still naitumia kibishi
 
Hata hizi samsung nazo zina kioo kigumu sana ila tatizo ni kwamba watu huwa wanapigwa bila wao kujua kwa kununua samsung ambazo ni fake,copy na refurbished
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom