Vioo vya laptops

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Laptop yangu TOSHIBA imepasuka kioo, naweza pata wapi kingine na kuki~fix?
 
kama una mkwanja fresh nenda office depot posta pale fasta wanakurekebishia unaondoka nayo. kama unataka bei za kawaida cheki mafund kkoo
 
nenda pale kwa paschal kariakoo umtafute jamaa anaitwa juma yeye anashugulika na uuzaji wa vioo na Betri so atakufungia kwa bei isiyozidi 120,000 but ukimpa pasco mwenyewe andaa 150k
 
Back
Top Bottom