Viongozi zanzibar wakiangalia miaka 50 ijayo wakazanie serikali moja.

chegreyson

JF-Expert Member
Nov 23, 2011
945
500
Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia siasa za Zanzibar, na jinsi viongozi wao,wanavyotamani kutawala leo,bila kuona madhara ya baadaye.
Ineo la Zanzibar ni dogo sana,miaka 50 ijayo itakuwa na idadi ya watu kati ya milioni tano mpaka nane.Wote watakuwa wananyang'anyana eneo hilo hilo ambalo leo watu millioni mbili walipo haliwatoshi.
Nafasi ya suluhisho la kipekee ni kuwa na serikali moja,ili wale ambao hawatakuwa na sehemu,, waje wahamishie makao yao huku Tanzania bara kwenye ineo kubwa.
Kumbukeni wachaga walivyokuwa wanalia kuwa sehemu yao ni ndogo,mwl Nyerere aliwaambia MBONA TANZANIA NI NCHI KUBWA SANA,ONDOKENI NENDENI SEHEMU NYINGINE YA NCHI MKAKAE HUKU,huo ukawa mwanzo wa Wachaga kutapakaa nchi yote na hawabagiliwi kwa namna ye yote ile.
SIWALAZIMISHI LAKINI IFIKIRIENI ZANZABAR YA 2064 ITAKUWAJE.

Wakenya,waganda,na Wanyarwanda walitaka jumuiya ya Afrika Mashariki ambayo ardhi itakuwa mali ya wote.
Ujajua kwa nini?
walilenga kutapishia watu wao wasiokuwa na ardhi kewnye nchi zaop waje Tanzania.Tanzania iliposema hapana,wao wameunda jumuia ndani ya jumuia na kuitenga Tanzania.
 

MrFroasty

JF-Expert Member
Jun 23, 2009
860
250
Wazo bovu kabisa halifai kabisa!Yaani taifa zima na nchi ipotee iwe mkoa wa Tanganyika ?????
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom