VIONGOZI WOTE WA VITUO VYA BODABODA NA BAJAJI

Billgates wa bongo

Billgates wa bongo

Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
59
Points
95
Billgates wa bongo

Billgates wa bongo

Member
Joined Nov 6, 2012
59 95
Habari!
Kwa heshima kubwa ningependa kupata mawasiliano ( contact) za viongozi wote wa vituo vya boda boda nchi nzima (Tanzania). Iwe ni kiongozi wa kituo cha boda,vikoba, upatu na hata saccos we nipigie, hii ni kwajili ya kuandaa mipango ya maendeleo yetu.
Ukijijua wewe ni kiongozi naomba wasiliana kwa namba hii 0754370202.
Pia ningependa kuwasiliana na
kiongozi mkuu wa bodaboda wote Tanzania au kiongozi wa kanda, mikoa,wilaya, tarafa, kata,mtaa.
Kama pia unamfahamu naomba mjulishe kuhusu hili.
Kuna mambo mazuri sana ya kuongea na kuweka mikakati ya kubotesha ajira kwa vijana.
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,343
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,343 2,000
Habari!
Kwa heshima kubwa ningependa kupata mawasiliano ( contact) za viongozi wote wa vituo vya boda boda nchi nzima (Tanzania). Iwe ni kiongozi wa kituo cha boda,vikoba, upatu na hata saccos we nipigie, hii ni kwajili ya kuandaa mipango ya maendeleo yetu.
Ukijijua wewe ni kiongozi naomba wasiliana kwa namba hii 0754370202.
Pia ningependa kuwasiliana na
kiongozi mkuu wa bodaboda wote Tanzania au kiongozi wa kanda, mikoa,wilaya, tarafa, kata,mtaa.
Kama pia unamfahamu naomba mjulishe kuhusu hili.
Kuna mambo mazuri sana ya kuongea na kuweka mikakati ya kubotesha ajira kwa vijana.
Inakuwa ni ngumu sana mtu kuharibu vocha yake na muda wake kukutafuta kwa sababu zifuatazo:
1.Hujajitambulisha wewe ni Kama nani?
2.Dhamana hiyo ya kuwatafuta viongozi wa bodaboda wa nchi nzima amekupa nani?
3.Lengo kuu/Mada kuu ni nini hata kwa muhtasari tu?
4.Mwisho wa siku watanufaika na kitu gani au utawapatia kitu gani baada ya kupoteza muda wao wa kukutafuta?
5.Wewe unapatikana mkoa gani na mtaa gani?na Kama Kuna mambo mazuri kwa Nini usianze kuwapatia bodaboda wa mtaani kwako wanaokufahamu?
Niko na maswali mengi sana ila hayo ndio ya awali.
 
Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
3,322
Points
2,000
Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2016
3,322 2,000
Inakuwa ni ngumu sana mtu kuharibu vocha yake na muda wake kukutafuta kwa sababu zifuatazo:
1.Hujajitambulisha wewe ni Kama nani?
2.Dhamana hiyo ya kuwatafuta viongozi wa bodaboda wa nchi nzima amekupa nani?
3.Lengo kuu/Mada kuu ni nini hata kwa muhtasari tu?
4.Mwisho wa siku watanufaika na kitu gani au utawapatia kitu gani baada ya kupoteza muda wao wa kukutafuta?
5.Wewe unapatikana mkoa gani na mtaa gani?na Kama Kuna mambo mazuri kwa Nini usianze kuwapatia bodaboda wa mtaani kwako wanaokufahamu?
Niko na maswali mengi sana ila hayo ndio ya awali.
Great thinker
 
joely sandu

joely sandu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Messages
1,872
Points
2,000
joely sandu

joely sandu

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2017
1,872 2,000
Hujalewa kweli mkuu
 
Billgates wa bongo

Billgates wa bongo

Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
59
Points
95
Billgates wa bongo

Billgates wa bongo

Member
Joined Nov 6, 2012
59 95
Inakuwa ni ngumu sana mtu kuharibu vocha yake na muda wake kukutafuta kwa sababu zifuatazo:
1.Hujajitambulisha wewe ni Kama nani?
2.Dhamana hiyo ya kuwatafuta viongozi wa bodaboda wa nchi nzima amekupa nani?
3.Lengo kuu/Mada kuu ni nini hata kwa muhtasari tu?
4.Mwisho wa siku watanufaika na kitu gani au utawapatia kitu gani baada ya kupoteza muda wao wa kukutafuta?
5.Wewe unapatikana mkoa gani na mtaa gani?na Kama Kuna mambo mazuri kwa Nini usianze kuwapatia bodaboda wa mtaani kwako wanaokufahamu?
Niko na maswali mengi sana ila hayo ndio ya awali.

Asante kwa maoni na maswali yako
Kwanza si wote wanamtazamo kama wako nimeshapigiwa simu na wengine kunutumia
meseji wengi wakiwa walengwa tajwa.
Samahani nawe ni kiongozi wa bodaboda au bajaji?utanipa jibu maana kama sio mmoja wao hii issue si fursa kwako.
Mimi ni kama nani?
Mi ni mjasiliamali mdogo sana najaribu kupambana na hali yangu hivyo nimechukua fursa A na fursa B ilinipate fursa C.
Dhamana ya kuwatafuta bodaboda nimejipa mwenyewe kwani hii fursa ni kwa boda boda wote nchini na pia kama Mtanzania mradi sijavunja sheria nitakuwa niko sawa.Kama kuna sehemu nimevunja sheria basi napaswa kujulishwa ili nitii sheria bila shuruti.
Kuhusu lengo kuu ni fursa mbalimbali zinazowahusu bodaboda kama wewe ni mmoja wao utakuwa unazijua lakini kama sio itakuwa ngumu kwako kuelewa.
Mwisho wa siku nitawapatia fursa mbalimbali na ndio maana nikahitaji viongozi ili niongee nao kwanza tukikubaliana tunaandaa mkakati na kufanikisha lengo letu.Nina mipango mizuri tu kama ni pumba viongozi watachuja na kunipuuzia lakini kama ni poa sidhani kama watapuuzia.
Mi napatikana Tanzania nzima kwani ni mjasiliamali kambi popote.
Kuhusu mambo mazuri kuwapatia watu wa mtaani kwangu kwanza nimeshafanya hivyo na naendelea kufanya hivyo natanua wigo nchi nzima.
Mwisho namalizia kwa kusema mi ni mjasilia mali nafanya hivi kwa lengo la biashara na si kingine hivyo sikupenda kuweka wazi kabisa hizo fursa kwani watu wanaweza kopi wazo na mimi ni mjasiliamali mdogo.
Karibu kama bado hujaelewa sehemu
 
walitola

walitola

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Messages
2,487
Points
2,000
walitola

walitola

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2014
2,487 2,000
Umetisha sana
Inakuwa ni ngumu sana mtu kuharibu vocha yake na muda wake kukutafuta kwa sababu zifuatazo:
1.Hujajitambulisha wewe ni Kama nani?
2.Dhamana hiyo ya kuwatafuta viongozi wa bodaboda wa nchi nzima amekupa nani?
3.Lengo kuu/Mada kuu ni nini hata kwa muhtasari tu?
4.Mwisho wa siku watanufaika na kitu gani au utawapatia kitu gani baada ya kupoteza muda wao wa kukutafuta?
5.Wewe unapatikana mkoa gani na mtaa gani?na Kama Kuna mambo mazuri kwa Nini usianze kuwapatia bodaboda wa mtaani kwako wanaokufahamu?
Niko na maswali mengi sana ila hayo ndio ya awali.
 
Forum statistics

Threads 1,315,686
Members 505,292
Posts 31,866,917
Top