Viongozi wetu wanapofanya makosa ya wazi waishie tu kuomba msamaha kisha 'life as usual', au tujenge utamaduni wa kuwajibika kama enzi za Nyerere?

Hakuna kosa lolote alilofanya Ndugai kila mwananchi anahoji hela ya tozo inaenda wapi?
Selling point ya tozo wakati inaletwa na waziri Nchemba ilikuwa kuwa hizo hela zinaenda kujenga madarasa na zahanati, je imekuwaje tena tukakopa trillion 1.3 kujenga madarasa ?
nakubali ulicho kisema

nadhani ni kwa mara ya kwanza ndugai kafanya kazi yake kama spika, ya kuhoji, kukosoa na kuishauri serikali tofauti tulivyo zoeleshwa kuwa spika anatakiwa aunge mkono kila tendo la serikali
 
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali.

Kwa kadri ya siku zinavyokwenda, wale watu wa Nyerere wanazidi kupungua, katika generation hii iliyopo, waliokuwa wanaujua utawala wa Mwalimu Nyerere ni wachache, wengi ni new generation ya utawala wa Mwinyi, Mkapa, JK, na JPM, hivyo inawezekana kabisa, wengi wasielewe kuwa enzi za Nyerere, viongozi wetu, walipofanya makosa ya wazi, sio tuu waliomba msamaha, bali msamaha huo uliandamana na barua ya kuwajibika, hivyo nauliza, kwa viongozi wetu hawa wa sasa, pale wanapofanya makosa ya wazi kabisa, tuwaache waombe tuu msamaha na life kuendelea as usual, au sasa tujenge utamaduni wa viongozi kuwajibika kwa makosa yao, na wasiishie kuomba tuu msamaha, tena misamaha mingine ni misamaha batili kwa kutoa visingizio, vya eti nilinukuliwa vibaya!, bali msamaha uandamane na barua ya kuwajibika, kama enzi za Nyerere?.

Naomba kwanza niwaonyeshe msamaha wa enzi za Nyerere,
View attachment 2067207
Hivyo jee mnaonaje, huu msamaha ulioombwa leo live kwenye TV, pia uandamane na barua rasmi ya kuomba msamaha wa kweli, ukiandamana na kuwajibika?, au msamaha tuu unatosha?.
Ile Video Clip Inayosambaa ni Bonafide Genuine, Mzungumzaji Hajalishwa Maneno wala Video, Haijafanyiwa makeke
Paskali
Umeandika hii uzi kwa sababu umeguswa sana na makosa ya Ndugai au sababu Ndugai alikutia kitanzi kwenye kamati ya maadili? wakosaji ni wengi mno but ulikua kimya kwa nini uzi kwa Ndugai?
 
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali.

Kwa kadri ya siku zinavyokwenda, wale watu wa Nyerere wanazidi kupungua, katika generation hii iliyopo, waliokuwa wanaujua utawala wa Mwalimu Nyerere ni wachache, wengi ni new generation ya utawala wa Mwinyi, Mkapa, JK, na JPM, hivyo inawezekana kabisa, wengi wasielewe kuwa enzi za Nyerere, viongozi wetu, walipofanya makosa ya wazi, sio tuu waliomba msamaha, bali msamaha huo uliandamana na barua ya kuwajibika, hivyo nauliza, kwa viongozi wetu hawa wa sasa, pale wanapofanya makosa ya wazi kabisa, tuwaache waombe tuu msamaha na life kuendelea as usual, au sasa tujenge utamaduni wa viongozi kuwajibika kwa makosa yao, na wasiishie kuomba tuu msamaha, tena misamaha mingine ni misamaha batili kwa kutoa visingizio, vya eti nilinukuliwa vibaya!, bali msamaha uandamane na barua ya kuwajibika, kama enzi za Nyerere?.

Naomba kwanza niwaonyeshe msamaha wa enzi za Nyerere,
View attachment 2067207
Hivyo jee mnaonaje, huu msamaha ulioombwa leo live kwenye TV, pia uandamane na barua rasmi ya kuomba msamaha wa kweli, ukiandamana na kuwajibika?, au msamaha tuu unatosha?.
Ile Video Clip Inayosambaa ni Bonafide Genuine, Mzungumzaji Hajalishwa Maneno wala Video, Haijafanyiwa makeke
Paskali
Job inabidi akuombe msamaha hata wewe, alikuchimba mkwara kipindi kile!
 
Swali zuri. Zamani kulikuwa na watu wazito na wanaosikilizwa. Hao humwita mkosaji na kumshauri cha kufanya naye hakuweza kubisha.
Siku hizi sijui kama hao watu mashuhuri bado wapo, kiukweli, walitamkwa kama wazee. Tena wakosaji siku hizi pia wabishi sana, hawaogopi wazee wenye nchi.
Kukiwa na jambo Nyerere alipenda kusema na wazee kupata ithibati. Wazee walikuwa na nguvu lakini leo kila mtu anajipa nguvu.
Sasa muhimu ni kuivunja hii nguvu ya kila mtu na kuondoa woga na unafiki.
 
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali.

Kwa kadri ya siku zinavyokwenda, wale watu wa Nyerere wanazidi kupungua, katika generation hii iliyopo, waliokuwa wanaujua utawala wa Mwalimu Nyerere ni wachache, wengi ni new generation ya utawala wa Mwinyi, Mkapa, JK, na JPM, hivyo inawezekana kabisa, wengi wasielewe kuwa enzi za Nyerere, viongozi wetu, walipofanya makosa ya wazi, sio tuu waliomba msamaha, bali msamaha huo uliandamana na barua ya kuwajibika, hivyo nauliza, kwa viongozi wetu hawa wa sasa, pale wanapofanya makosa ya wazi kabisa, tuwaache waombe tuu msamaha na life kuendelea as usual, au sasa tujenge utamaduni wa viongozi kuwajibika kwa makosa yao, na wasiishie kuomba tuu msamaha, tena misamaha mingine ni misamaha batili kwa kutoa visingizio, vya eti nilinukuliwa vibaya!, bali msamaha uandamane na barua ya kuwajibika, kama enzi za Nyerere?.

Naomba kwanza niwaonyeshe msamaha wa enzi za Nyerere,
View attachment 2067207
Hivyo jee mnaonaje, huu msamaha ulioombwa leo live kwenye TV, pia uandamane na barua rasmi ya kuomba msamaha wa kweli, ukiandamana na kuwajibika?, au msamaha tuu unatosha?.

Hii Video Clip Inayosambaa

Mimi ni mtu wa Audio Visual, hivyo nikiangalia tuu a video clip, naweza kujua kama imefanyiwa makeke au laa. Hii video clip ni Bonafide Genuine, toka kwa a trusted source. Mzungumzaji hayo aliyozungumza ni maneno yake mwenyewe halisi. Hajalishwa maneno yoyote wala hii video, haijafanyiwa makeke yoyote!.

Jee Wajua Kuna Kuomba Msamaha Wa Kweli na Kuomba Msamaha Batili?.
Sii wengi wanaojua kuna misamaha ya kweli na misamaha batili.
Msamaha wa kweli ni pale mtu unakosa, kwanza kwa kukubali kosa, pili kujutia kosa, tatu kuomba msamaha wa dhati na mwisho ku take responsibility kwa kuwajibika kwa kubeba the consequences ya makosa yako, na kupisha ofisi ya umma kupunguza embarasment caused.

Msamaha batili ni pale mtu umekosa, badala ya kukiri kosa, unatafuta visingizio kwa kutafuta the scapegoat na shift the blame kwa wengine kwa kudai au umenukuliwa vibaya au video clip imefanyiwa maujanja!. Ile video ni bonafide genuine, haijafanyiwa maujanja yoyote, hivyo hayo matamshi, ni matamshi halisi ya mhusika. Kuomba msamaha kwa kutafuta kusingizio chochote, ni kuomba msamaha batili. Kwa mlioisikiliza hiyo video, jee kuomba tuu msamaha kunatosha, au pia awajibike?.

Paskali

We unaandika nini hizi takataka
 
Kwa kiburi alichokuwanacho Ndugai na leo kawa mdogo kama piriton huyu asijiuzuru aendelee kula tu ili tufaidi sinema ya bure atakavyokuwa chawa wa Samia, maana hiyo ndio adhabu aliyopewa.

Torturing aliyofanyiwa huyo mgogo ni adhabu tosha sana kwa mtu mwenye kiburi kama yeye, na utamu zaidi leo yeye ndio ametumika kumjenga mama kimamlaka na raia wote kuanzia leo wanajuwa nini maana ya Amiri jeshi mkuu.
 
Kama spika Ndugai angechukua uamuzi wa kujiuzuru angejijengea heshima kubwa,kinyume anakanusha akidai amenukuliwa vibaya.Kimsingi matamshi yawe yamenukuliwa vibaya au yawe ndiyo maneno halisi aliyoyatamka anapaswa kupisha
Wanabodi,

Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji.

Naomba kuanza kwa Declaration of Interest
Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wa habari, tuliwahi kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge na kusulubiwa, naomba bandiko hili, lisichukuliwe kuwa ni hit back. Mimi nimewahi kuandika sana kuhusu uwajibikaji na mambo ya watu kuombana misamaha batili

Hili ni bandiko la swali.

Kwa kadri ya siku zinavyokwenda, wale watu wa Nyerere wanazidi kupungua, katika generation hii iliyopo, waliokuwa wanaujua utawala wa Mwalimu Nyerere ni wachache, wengi ni new generation ya utawala wa Mwinyi, Mkapa, JK, na JPM, hivyo inawezekana kabisa, wengi wasielewe kuwa enzi za Nyerere, viongozi wetu, walipofanya makosa ya wazi, sio tuu waliomba msamaha, bali msamaha huo uliandamana na barua ya kuwajibika, hivyo nauliza, kwa viongozi wetu hawa wa sasa, pale wanapofanya makosa ya wazi kabisa, tuwaache waombe tuu msamaha na life kuendelea as usual, au sasa tujenge utamaduni wa viongozi kuwajibika kwa makosa yao, na wasiishie kuomba tuu msamaha, tena misamaha mingine ni misamaha batili kwa kutoa visingizio, vya eti nilinukuliwa vibaya!, bali msamaha uandamane na barua ya kuwajibika, kama enzi za Nyerere?.

Naomba kwanza niwaonyeshe msamaha wa enzi za Nyerere,
View attachment 2067207
Na kwa msiofahamu kisa hiki, sio Waziri Mwinyi pekee alijiuzulu, Rashidi Kawawa aliondolewa kwenye umakamo wa pili wa rais. Waziri wa Usalama wa Taifa, Peter Siyovelwa alijiuzulu.
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Emelio Mzena Alistaafishwa, IGP, Samuel Pundugu Alistaafishwa, Kamisha Mkuu wa Magereza Alistaafishwa. Kisha ngoma ikahamia Mwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Peter Kisumo, alimwaga unga. RPC, RSO, OCD na DC wa Mwanza sio tuu walimwaga unga, bali walifikishwa kwa Pilato na wote wakala mvua nyingi, isipokuwa mshitakiwa mmoja tuu, aliyekuwa anatetewa na wakili mahiri, Murtaza Lakha, ndie alinusurika.

Hivyo jee mnaonaje, huu msamaha ulioombwa leo live kwenye TV, pia uandamane na barua rasmi ya kuomba msamaha wa kweli, ukiandamana na kuwajibika?, au msamaha tuu unatosha?.

Hii Video Clip Inayosambaa

Mimi ni mtu wa Audio Visual, hivyo nikiangalia tuu a video clip, naweza kujua kama imefanyiwa makeke au laa. Hii video clip ni Bonafide Genuine, toka kwa a trusted source. Mzungumzaji hayo aliyozungumza ni maneno yake mwenyewe halisi. Hajalishwa maneno yoyote wala hii video, haijafanyiwa makeke yoyote!.

Jee Wajua Kuna Kuomba Msamaha Wa Kweli na Kuomba Msamaha Batili?.
Sii wengi wanaojua kuna misamaha ya kweli na misamaha batili.
Msamaha wa kweli ni pale mtu unakosa, kwanza kwa kukubali kosa, pili kujutia kosa, tatu kuomba msamaha wa dhati na mwisho ku take responsibility kwa kuwajibika kwa kubeba the consequences ya makosa yako, na kupisha ofisi ya umma kupunguza embarasment caused.

Msamaha batili ni pale mtu umekosa, badala ya kukiri kosa, unatafuta visingizio kwa kutafuta the scapegoat na shift the blame kwa wengine kwa kudai au umenukuliwa vibaya au video clip imefanyiwa maujanja!. Ile video ni bonafide genuine, haijafanyiwa maujanja yoyote, hivyo hayo matamshi, ni matamshi halisi ya mhusika. Kuomba msamaha kwa kutafuta kusingizio chochote, ni kuomba msamaha batili. Kwa mlioisikiliza hiyo video, jee kuomba tuu msamaha kunatosha, au pia awajibike?.

Paskali
 
Wanabodi,

Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji.

Naomba kuanza kwa Declaration of Interest
Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wa habari, tuliwahi kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge na kusulubiwa, naomba bandiko hili, lisichukuliwe kuwa ni hit back. Mimi nimewahi kuandika sana kuhusu uwajibikaji na mambo ya watu kuombana misamaha batili

Hili ni bandiko la swali.

Kwa kadri ya siku zinavyokwenda, wale watu wa Nyerere wanazidi kupungua, katika generation hii iliyopo, waliokuwa wanaujua utawala wa Mwalimu Nyerere ni wachache, wengi ni new generation ya utawala wa Mwinyi, Mkapa, JK, na JPM, hivyo inawezekana kabisa, wengi wasielewe kuwa enzi za Nyerere, viongozi wetu, walipofanya makosa ya wazi, sio tuu waliomba msamaha, bali msamaha huo uliandamana na barua ya kuwajibika, hivyo nauliza, kwa viongozi wetu hawa wa sasa, pale wanapofanya makosa ya wazi kabisa, tuwaache waombe tuu msamaha na life kuendelea as usual, au sasa tujenge utamaduni wa viongozi kuwajibika kwa makosa yao, na wasiishie kuomba tuu msamaha, tena misamaha mingine ni misamaha batili kwa kutoa visingizio, vya eti nilinukuliwa vibaya!, bali msamaha uandamane na barua ya kuwajibika, kama enzi za Nyerere?.

Naomba kwanza niwaonyeshe msamaha wa enzi za Nyerere,
View attachment 2067207
Na kwa msiofahamu kisa hiki, sio Waziri Mwinyi pekee alijiuzulu, Rashidi Kawawa aliondolewa kwenye umakamo wa pili wa rais. Waziri wa Usalama wa Taifa, Peter Siyovelwa alijiuzulu.
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Emelio Mzena Alistaafishwa, IGP, Samuel Pundugu Alistaafishwa, Kamisha Mkuu wa Magereza Alistaafishwa. Kisha ngoma ikahamia Mwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Peter Kisumo, alimwaga unga. RPC, RSO, OCD na DC wa Mwanza sio tuu walimwaga unga, bali walifikishwa kwa Pilato na wote wakala mvua nyingi, isipokuwa mshitakiwa mmoja tuu, aliyekuwa anatetewa na wakili mahiri, Murtaza Lakha, ndie alinusurika.

Hivyo jee mnaonaje, huu msamaha ulioombwa leo live kwenye TV, pia uandamane na barua rasmi ya kuomba msamaha wa kweli, ukiandamana na kuwajibika?, au msamaha tuu unatosha?.

Hii Video Clip Inayosambaa

Mimi ni mtu wa Audio Visual, hivyo nikiangalia tuu a video clip, naweza kujua kama imefanyiwa makeke au laa. Hii video clip ni Bonafide Genuine, toka kwa a trusted source. Mzungumzaji hayo aliyozungumza ni maneno yake mwenyewe halisi. Hajalishwa maneno yoyote wala hii video, haijafanyiwa makeke yoyote!.

Jee Wajua Kuna Kuomba Msamaha Wa Kweli na Kuomba Msamaha Batili?.
Sii wengi wanaojua kuna misamaha ya kweli na misamaha batili.
Msamaha wa kweli ni pale mtu unakosa, kwanza kwa kukubali kosa, pili kujutia kosa, tatu kuomba msamaha wa dhati na mwisho ku take responsibility kwa kuwajibika kwa kubeba the consequences ya makosa yako, na kupisha ofisi ya umma kupunguza embarasment caused.

Msamaha batili ni pale mtu umekosa, badala ya kukiri kosa, unatafuta visingizio kwa kutafuta the scapegoat na shift the blame kwa wengine kwa kudai au umenukuliwa vibaya au video clip imefanyiwa maujanja!. Ile video ni bonafide genuine, haijafanyiwa maujanja yoyote, hivyo hayo matamshi, ni matamshi halisi ya mhusika. Kuomba msamaha kwa kutafuta kusingizio chochote, ni kuomba msamaha batili. Kwa mlioisikiliza hiyo video, jee kuomba tuu msamaha kunatosha, au pia awajibike?.

Paskali

Awajibikeee
 
TABIA ZA NDUGAI KULINGANA NA MAVAZI:

1. Akivaa Joho la Spika;

"...Huna cha kunifanya. Pambana na kitu kingine lakini sio Ndugai."

2. Akivaa Suti ya Koti na Tai:

"Mhe. Rais sisi Bunge tunakushukuru na kukupongeza kwa kutuletea pesa nyingi...Shilingi Trilioni 1.3 ni nyingi na yote inaenda kutuletea maendeleo."

3. Akivaa Shati la Kitenge;

"Hebu fikiria, juzi mama ameenda kukopa sh.1.3 Trilioni. Miaka 60 ya Uhuru tutembeze bakuli...ipo siku nchi hii itapigwa mnada."

4. Akivaa Suti ya "Kaunda:"

"Nimekosa mimi, nimekosa sana. Nimekosa mimi, Mungu anisamehe, Watanzania nisameheni."

Kwa uzoefu huu, toa Wasifu wa Ndugai.🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom