Viongozi wetu wanapenda starehe

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,942
4,410
Hii inanikumbusha enzi zilee za mababu zetu,Kiongozi akiwa anasafiri anabebwa kwenye kiti juu mwanzo wa safari mpaka mwisho wa safari kama ni Dar mpaka Moro watu wanabeba juu.
Kumbe ipo mpaka siku hizi ila kwa style tofauti na ile,kama mkuu kufunguliwa mlango iwe wa gari akienda kwenye tafrija kubebewa bilauli anakunywa anakupa umshikie,kama ukiwa msaidizi wa kiongozi umpate anaye kunywa pombe utapata tabu kushikilia kinywaji.
Angalia hii hapa mzee M7 akiwa ametulia huku jamaa akiwa ameshikilia mwavuli wakati pembeni kuna mti kwa nini asikae kivulini?
1.JPG
Mimi naona huu ni unyanyasaji kwa wafanyakazi na hapo ndipo unapo amini Binadamu wote si sawa.
Huu ni utumwa sasa.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom