The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,908
- 2,889
katika moja ya hotuba zake mwalim nyerere aliwahi kusema watu wakiisha filisika kimawazo hukimbilia kuwagawa watu iwe kikanda kidini hata kijinsia ili mradi wajenge uhalali wa kufanya yao hili tulilishuhudia sana awamu ya nne wakati ambapo rais wa awamu hiyo alijitahidi sana eti kubalance dini au ukanda na jinsia ktk teuzi zake mbalimbali na miongoni mwa teuzi mbovu kabisa kuwahi kufanywa ni za waliokua waziri wa ardhi,waziri wa elimu,ni kwa msingi huo baadhi ya watu wanalalamikia teuzi za magufuli kua eti hazijazingatia uwiano mbaya sana baadhi ya wanaolalamika ni wasomi wakubwa sana hii ni aibu kwani haya ni malalamiko ya kufilisika kimawazo magufuli anateua watu akizingatia vigezo kiutendaji si kuwapendezesha watu kwa kumteua mtu wao hata kama ni mtendaji mbovu au hakidhi vigezo ni ujinga kumteua mtu ili uniridhishe mimi badala ya kuangalia anauwezo wa kutatua changamoto zinazoliikabili sasa na na baadae!!