Viongozi wetu wa Yanga SC tafadhali hatumtaki tena Kocha Lwandamina tumemchoka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,052
107,536
Huyu Kocha wetu wa sasa Mzambia George Lwandamina kiukweli Mimi GENTAMYCINE kama mwanachama halali kabisa wa Yanga SC nasema hatufai na hatuoni ' tija ' yake ndani ya Klabu yetu hivyo tumekubaliana ' Matawi ' yota ya Yanga SC kuuambia Uongozi wa Yanga SC kuwa umfukuze mara moja.

Haiwezekani huyu Kocha Yeye kila siku tu ni kutupangia ' michezaji ' mibovu na mizigo katika Timu yetu kama Ibrahim, Obren Chirwa na Papy Kabamba Tshishimbi ambao kiukweli hawajui mpira, hawastahili hata kuichezea Yanga SC na kila siku wanatugharimu tu katika mechi zetu na hata mishahara mikubwa tunayowapa.

Najua Viongozi wengi wa Yanga SC na hata Msemaji wangu Dismas Ten huwa mnapitia sana humu JamiiForums hebu basi kwa niaba ya Wanachama wenzangu wote wa ' Matawi ' ya Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam Mimi GENTAMYCINE nawaomba achaneni haraka na Kocha Lwandamina.

Wengi wa Wanachama wenzangu wa Yanga SC tunataka Kocha Mkuu wa Yanga SC awe Jackson Mayanja na Msaidizi wake awe Jamhuri Kihwelo ' Julio ' kwani hawa ndiyo Makocha ambao wataiweza Yanga SC yetu na hata kutufikisha katika Fainali ya Klabu Bingwa Afrika na kuchukua Ubingwa na pia kutusaidia kuutetea tena Ubingwa wetu wa VPL na kuwapokonya Simba SC Kombe la ASFC.

Ombi langu kubwa leo kwa Wanachama wenzangu wa Yanga SC nchi nzima ni kwamba naomba kila mmoja wenu hapo alipo apige ' dua ' yake anayoielewa ni leo pia Simba SC ama ifungwe au itoke sare na Mbeya City huko Mkoani Mbeya kwani kwa dalili zote ninazoziona kama Simba SC leo itashinda huko Mbeya watakuwa wametuacha kwa points mbili ( 2 ) hali ambayo kwa Kikosi cha Simba SC jinsi kilivyo Kizuri kinaweza kikatupa sana taabu Sisi kuwafikia.

Tafadhali sana Kaimu Mwenyekiti Clement Sanga na Katibu Mkuu wa Charles Mkwasa Sisi Wanayanga wa ' Kindakindaki ' hatumtaki Kocha Lwandamina na tunamtaka Mayanja na Julio waje kuokoa ' jahazi ' lakini pia tunawataka muachane upesi na hawa Wachezaji Ajib, Chirwa na Tshishimbi kwani wana Kiwango kidogo sana cha kuchezea Klabu yetu kubwa barani Afrika na ya Kimataifa pia.

GENTAMYCINE na Wanayanga wote wa Matawi hapa Dar es Salaam tutashukuru kama mtayazingatia haya.
 
mkuu haya Ni maoni yako binafsi au umeandika makala kuwawakilisha wana yanga. Binafsi ninavyokujua wewe Ni simba kindakindaki kulingana Na maandiko yako. Sasa katika hili nakuona Kama kigeugeu au nakosea.

lakini kwa mbaaaaaali inaonekana Kama kijembe hiki kwa watani zako.
 
Lini nilikuambia au kukutangazia kwamba Mimi ni mwana Simba SC? Mbona hata akina naumbu na Members wengi tu humu tena hasa wana Yanga SC wanajua kwamba GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC kindakindaki Mkuu? Mkuu yaani hapo Yanga Kwetu kama hatutomfukuza Kocha Lwandamina na kuachana na hao Wachezaji ' nuksi ' tupu akina Ajib, Chirwa na Tshishimbi Yanga SC tusahau mafanikio kwa msimu huu. Hapo Sisi wana Yanga SC tunakata Uongozi utuletee Mayanja na Julio ndiyo Makocha pekee watakaoivusha vyema Yanga yetu.
 
Huyu Kocha wetu wa sasa Mzambia George Lwandamina kiukweli Mimi GENTAMYCINE kama mwanachama halali kabisa wa Yanga SC nasema hatufai na hatuoni ' tija ' yake ndani ya Klabu yetu hivyo tumekubaliana ' Matawi ' yota ya Yanga SC kuuambia Uongozi wa Yanga SC kuwa umfukuze mara moja.

Haiwezekani huyu Kocha Yeye kila siku tu ni kutupangia ' michezaji ' mibovu na mizigo katika Timu yetu kama Ibrahim, Obren Chirwa na Papy Kabamba Tshishimbi ambao kiukweli hawajui mpira, hawastahili hata kuichezea Yanga SC na kila siku wanatugharimu tu katika mechi zetu na hata mishahara mikubwa tunayowapa.

Najua Viongozi wengi wa Yanga SC na hata Msemaji wangu Dismas Ten huwa mnapitia sana humu JamiiForums hebu basi kwa niaba ya Wanachama wenzangu wote wa ' Matawi ' ya Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam Mimi GENTAMYCINE nawaomba achaneni haraka na Kocha Lwandamina.

Wengi wa Wanachama wenzangu wa Yanga SC tunataka Kocha Mkuu wa Yanga SC awe Jackson Mayanja na Msaidizi wake awe Jamhuri Kihwelo ' Julio ' kwani hawa ndiyo Makocha ambao wataiweza Yanga SC yetu na hata kutufikisha katika Fainali ya Klabu Bingwa Afrika na kuchukua Ubingwa na pia kutusaidia kuutetea tena Ubingwa wetu wa VPL na kuwapokonya Simba SC Kombe la ASFC.

Ombi langu kubwa leo kwa Wanachama wenzangu wa Yanga SC nchi nzima ni kwamba naomba kila mmoja wenu hapo alipo apige ' dua ' yake anayoielewa ni leo pia Simba SC ama ifungwe au itoke sare na Mbeya City huko Mkoani Mbeya kwani kwa dalili zote ninazoziona kama Simba SC leo itashinda huko Mbeya watakuwa wametuacha kwa points mbili ( 2 ) hali ambayo kwa Kikosi cha Simba SC jinsi kilivyo Kizuri kinaweza kikatupa sana taabu Sisi kuwafikia.

Tafadhali sana Kaimu Mwenyekiti Clement Sanga na Katibu Mkuu wa Charles Mkwasa Sisi Wanayanga wa ' Kindakindaki ' hatumtaki Kocha Lwandamina na tunamtaka Mayanja na Julio waje kuokoa ' jahazi ' lakini pia tunawataka muachane upesi na hawa Wachezaji Ajib, Chirwa na Tshishimbi kwani wana Kiwango kidogo sana cha kuchezea Klabu yetu kubwa barani Afrika na ya Kimataifa pia.

GENTAMYCINE na Wanayanga wote wa Matawi hapa Dar es Salaam tutashukuru kama mtayazingatia haya.
Nasi wana simba kindaki ndaki nikiwa mwanachama hai kabisa mwenye kadi no. 1346 tunataka kocha wetu Omog aondolewe mana kikosi cha 1.2bilion kutoka sare na Yanga ni dharau kubwa. Hivyo tunaomba Fredy Felix Minziro awe kocha wetu mkuu na Shadrack Nsajigwa awe msaidizi wake naamini 100% kombe tutalichukua tukiwa na mechi 5 mkononi.
 
H
Lini nilikuambia au kukutangazia kwamba Mimi ni mwana Simba SC? Mbona hata akina naumbu na Members wengi tu humu tena hasa wana Yanga SC wanajua kwamba GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC kindakindaki Mkuu? Mkuu yaani hapo Yanga Kwetu kama hatutomfukuza Kocha Lwandamina na kuachana na hao Wachezaji ' nuksi ' tupu akina Ajib, Chirwa na Tshishimbi Yanga SC tusahau mafanikio kwa msimu huu. Hapo Sisi wana Yanga SC tunakata Uongozi utuletee Mayanja na Julio ndiyo Makocha pekee watakaoivusha vyema Yanga yetu.
haaa haaaa haaaa hata bana salam zako kutoka kwa Joseverest
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom