Viongozi wetu wa Afrika wanatuwakilisha vyema katika mkutano wa agenda ya maendeleo wakiwa makini kabisa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
Hawa ndio Viongozi wa Afrika waliotumia mamilioni ya shilingi kusafiri hadi Urusi kusukuma agenda za maendeleo kwa umakini kabisa.

Jambo pekee linaloweza kuwaamsha hawa Viongozi ni wasikie tu kuna mpinzani anataka kufanya mkutano wa hadhara.

Bila shaka unaweza kuelewa ni kwa nini Rais wa Urusi, Vladimir Putin alisema Afrika ni kaburi huku mwenzake, Donald Trump akisema Afrika ni choo na haina tofauti na matako. Ninapowaambia kuzaliwa Afrika ni laana muwe mnaelewa. Afrika imesheheni watu wa hovyo hovyo kuanzia Viongozi wa Siasa, Viongozi wa Dini hadi Wananchi wenyewe wengi wao ni wa hovyo hovyo kabisa.

Je bado unashangaa ilikuwaje, Chief Mangungo wa Msovero aliposainishwa na Karl Peters mikataba ya hovyo ambayo hakuisoma na wala haielewi? Sasa hawa wakikurupuka usingingizi na wakapewa makaratasi ya mikataba hapo unategemea nini si ni kusema tu ohhh Yes yes this is a good deal I have gone through the documents, where do I sign?"

Sasa hawa wana afadhali kuna wengine hata waandishi wa habari wameona aibu kurusha picha zao.

Agenda pekee za maendeleo viongozi wengi wa Africa wanazoweza kuzisimamia bila kusinzia ni kuzuia mikutano ya viongoz wa vyama vya upinzan ili wananchi wasiambiwe uharamu wao wanaofanya na kutumia Polisi, Tume ya Uchaguzi na makada wa vyama vyao kuhakikisha kuwa wanapora uchaguzi ili wasalie madarakani.

Nasisitiza Jambo pekee linaloweza kuwaamsha hawa Viongozi ni wasikie tu kuna mpinzani anataka kufanya mkutano wa hadhara au amuote tu Bobi Wine, Dr. Kizza Besigye au Julius Malema.

1572006703563.jpeg

Na wakirudi ukiwakosoa cha moto utakiona.
 
Tunawaambia umri umeenda waachieni vijana(50's) full kung'ang'ania angalia wameenda kutudhalilisha huko...ndio maana trump anatutukana kila siku
Mimi huwa nabisha sana Trump na Putin na wengine hawatutukani Ndivyo tulivyo ni sifa zetu
Kwani ukiwa mrefu mtu akikwambia ni tusi?

Tuna matatizo makubwa sana ktk sekta zote Leo Ata ukijaribu kujiita MUNGU utapata waamini .
Ni heri zamani walidanganywa lakini kadri wenzetu wanavyo piga hatua Sisi ndio tunarudi nyuma Mabaya zaidi au kubwa kuliko Rasilimali zetu ndio zinaenda kuisha
 
Hapo kuna mengi sana yamewapata. 1. Hakuna wakati wa kulala 2. Hakuna mkalimani wa lugha 3. Hoja ilokuwa inatolewa hapo ina boooa sana 4. Huko nyumbani tumesikia wamenyweea yaani mpaka turudi. All this is because of good governance
 
Hawa ndio Viongozi wa Afrika waliotumia mamilioni ya shilingi kusafiri hadi Urusi kusukuma agenda za maendeleo kwa umakini kabisa.

Jambo pekee linaloweza kuwaamsha hawa Viongozi ni wasikie tu kuna mpinzani anataka kufanya mkutano wa hadhara.

Bila shaka unaweza kuelewa ni kwa nini Rais wa Urusi, Vladimir Putin alisema Afrika ni kaburi huku mwenzake, Donald Trump akisema Afrika ni choo na haina tofauti na matako. Ninapowaambia kuzaliwa Afrika ni laana muwe mnaelewa. Afrika imesheheni watu wa hovyo hovyo kuanzia Viongozi wa Siasa, Viongozi wa Dini hadi Wananchi wenyewe wengi wao ni wa hovyo hovyo kabisa.

Je bado unashangaa ilikuwaje, Chief Mangungo wa Msovero aliposainishwa na Karl Peters mikataba ya hovyo ambayo hakuisoma na wala haielewi? Sasa hawa wakikurupuka usingingizi na wakapewa makaratasi ya mikataba hapo unategemea nini si ni kusema tu ohhh Yes yes this is a good deal I have gone through the documents, where do I sign?"

Sasa hawa wana afadhali kuna wengine hata waandishi wa habari wameona aibu kurusha picha zao.

Agenda pekee za maendeleo viongozi wengi wa Africa wanazoweza kuzisimamia bila kusinzia ni kuzuia mikutano ya viongoz wa vyama vya upinzan ili wananchi wasiambiwe uharamu wao wanaofanya na kutumia Polisi, Tume ya Uchaguzi na makada wa vyama vyao kuhakikisha kuwa wanapora uchaguzi ili wasalie madarakani.

Nasisitiza Jambo pekee linaloweza kuwaamsha hawa Viongozi ni wasikie tu kuna mpinzani anataka kufanya mkutano wa hadhara au amuote tu Bobi Wine, Dr. Kizza Besigye au Julius Malema.

View attachment 1244320

Na wakirudi ukiwakosoa cha moto utakiona.
Logic dictates me to deduce that this is a concocted edition by superpowers and/or fellow African haters and cynics for some fellow African and/or elsewhere's cheap minds to emotionally(with minds off) absorb the stuff for some planned negative effect on Africa and its leaders so as to tarnish its image and legitimise some planned affairs for the good of the concoctor of the edition.

Hata ukiicheki hiyo picha, wamerundikana kama viazi kwenye rumbesa.
 
Hawa ndio Viongozi wa Afrika waliotumia mamilioni ya shilingi kusafiri hadi Urusi kusukuma agenda za maendeleo kwa umakini kabisa.

Jambo pekee linaloweza kuwaamsha hawa Viongozi ni wasikie tu kuna mpinzani anataka kufanya mkutano wa hadhara.

Bila shaka unaweza kuelewa ni kwa nini Rais wa Urusi, Vladimir Putin alisema Afrika ni kaburi huku mwenzake, Donald Trump akisema Afrika ni choo na haina tofauti na matako. Ninapowaambia kuzaliwa Afrika ni laana muwe mnaelewa. Afrika imesheheni watu wa hovyo hovyo kuanzia Viongozi wa Siasa, Viongozi wa Dini hadi Wananchi wenyewe wengi wao ni wa hovyo hovyo kabisa.

Je bado unashangaa ilikuwaje, Chief Mangungo wa Msovero aliposainishwa na Karl Peters mikataba ya hovyo ambayo hakuisoma na wala haielewi? Sasa hawa wakikurupuka usingingizi na wakapewa makaratasi ya mikataba hapo unategemea nini si ni kusema tu ohhh Yes yes this is a good deal I have gone through the documents, where do I sign?"

Sasa hawa wana afadhali kuna wengine hata waandishi wa habari wameona aibu kurusha picha zao.

Agenda pekee za maendeleo viongozi wengi wa Africa wanazoweza kuzisimamia bila kusinzia ni kuzuia mikutano ya viongoz wa vyama vya upinzan ili wananchi wasiambiwe uharamu wao wanaofanya na kutumia Polisi, Tume ya Uchaguzi na makada wa vyama vyao kuhakikisha kuwa wanapora uchaguzi ili wasalie madarakani.

Nasisitiza Jambo pekee linaloweza kuwaamsha hawa Viongozi ni wasikie tu kuna mpinzani anataka kufanya mkutano wa hadhara au amuote tu Bobi Wine, Dr. Kizza Besigye au Julius Malema.

View attachment 1244320

Na wakirudi ukiwakosoa cha moto utakiona.
Duh wanachapa mausingizi na tai zao...

Ila nadhani kuna mambo flani wanayatafakari tu jamani sidhani kwamba wamelala fofofo..
 
Halafu tunalalamika eti wanatunyonya mabeberu, wakati kwenye kikao hawasikilizi wanasinzia kama ma ng'ombe.

Hapo Yoweri Museven mara watu wanaiuza uganda, halafu akisikia watu wanapiga makofi anakurupuka na yeye kupiga makofi.
 
Wakiamka wanaambiwa weka sahihi hapa. Kumbe mkataba umeandikwa wachina watakuja Tanzania kuchimba madini bila kibali wala kulipa kodi. Ni kuchimba na kuondoka nayo na ngozi za tembo
 
Mi namkubali sana Waziri Mkuu wa Ethiopia anajitahidi sana
 
Wazungu wanatudharau kwa mengi
Kuna yule wa Gabon aliyeparalaiz lakini anafanya kampein achaguliwe tena au kile kibabu cha Algeria kilichofanyia kampein kwenye whiil chea huku akikokotwa kama mayiti.
Kuna mbunge mgonjwa sana hajaonekana bungeni miaka 3 usishangae akigombea tena.
 
Kwa usingizi huu nadhani mama janette M7 amesharudia hali yake ya ubikira. Si mnajua mwanamke asipopekenyuliwa kwa muda mrefu bikira inarudi
 
Back
Top Bottom