Viongozi wetu, safari za nje na kunguru wa Zanzibar

WILLY GAMBA

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
211
87
Nakumbuka wakati nipo shule kuna rafiki yangu aliniambia kuwa kunguru wa Zanzibar ilikuwa ni zawadi kwa kiongozi wetu alipo tembelea nchi fulani. Alipewa jike na dume.Nilicheka sana.
Nikaja sikia tena kuwa wale samaki wanaosumbua ziwa Victoria, Sangara, ilikuwa ni zawadi ya kiongozi wetu mwingine alipotembelea nchi moja ya kikomunisti.Alipewa jike na dume. Nilicheka sana.
Mtawala wetu wa sasa yeye ameamua kuwapiku wote waliao mtangulia, yeye kapewa hawa wa Baajuni wa kismayu!
Loh! jasho litatutoka! is not funny anymore.
 
hata sielewi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom