Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,182
- 1,490
Mbukwenyi wawaha JF
Naomba kufahamishwa na kujuzwa maana halisi ya kiongozi kuwa Kifimbo kidogo hivi na akawa anatembea nacho,mara anaweka kwapani au anashika mkononi
-Naomba kujuzwa maana ya FIMBO HIZO/HIYO
-Naomba kujuzwa maana ya KUWEKA KWAPANI NA KUSHIKA MKONONI
-Asili ya hii tabia na Uhusiano wake na Uongozi
Mfano wa fimbo ninayo jaribu kusemea ni hii ya Baba wa Taifa.