kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,051
- 15,885
Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini kuwa kiongozi ambaye hivi sasa ni mwenyekiti wa kanda na yule aliewahi kuhudumu nafasi mbali mbali Serikalini na CCM siku yeyote ndani ya mwezi huu wataitisha mkutano na wanahabari na kuwaeleza misimamo yao kisiasa na muelekeo.
Mzee huyo yeye analalamika kwa watu wake wa karibu kuwa tangu aliposhawishiwa kujitoa CCM alilipwa pesa nusu na mpaka hivi sasa hajamaliziwa malipo yake na mtu aliemuahidi hata akimuuliza hivi sasa anampuuza na hana majibu mazuri.
Chanzo hicho kimesema siku hiyo ndio atazungumza hatima yake na kuhusu mwenyekiti wa kanda analalamika kutengwa na wenzie aliojiengua nao CCM kisa tu, yeye kupata uenyekiti wa kanda na hata mwenyekiti taifa kwa kuwa yeye yupo upande huo wa hao watu pia na yeye hamuelewi
Chanzo hicho kinasema hata zinapotekea shughuli za chama basi mmoja huulizia kama mwenzake amehudhuria na kama imekua hivyo basi mmoja hafiki tena sasa mwenyekiti huyo anaona si vizuri kwa afya chama ni bora akaweka wazi kieleweke.
Mambo yameanza siku hazigandi!