Tetesi: Viongozi wawili waliojiengua CCM 2015 kuongea na wanahabari juu ya mustakabali wao kisiasa ndani ya Tanzania

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
8,915
2,000
Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini kuwa kiongozi ambaye hivi sasa ni mwenyekiti wa kanda na yule aliewahi kuhudumu nafasi mbali mbali Serikalini na CCM siku yeyote ndani ya mwezi huu wataitisha mkutano na wanahabari na kuwaeleza misimamo yao kisiasa na muelekeo.

Mzee huyo yeye analalamika kwa watu wake wa karibu kuwa tangu aliposhawishiwa kujitoa CCM alilipwa pesa nusu na mpaka hivi sasa hajamaliziwa malipo yake na mtu aliemuahidi hata akimuuliza hivi sasa anampuuza na hana majibu mazuri.

Chanzo hicho kimesema siku hiyo ndio atazungumza hatima yake na kuhusu mwenyekiti wa kanda analalamika kutengwa na wenzie aliojiengua nao CCM kisa tu, yeye kupata uenyekiti wa kanda na hata mwenyekiti taifa kwa kuwa yeye yupo upande huo wa hao watu pia na yeye hamuelewi

Chanzo hicho kinasema hata zinapotekea shughuli za chama basi mmoja huulizia kama mwenzake amehudhuria na kama imekua hivyo basi mmoja hafiki tena sasa mwenyekiti huyo anaona si vizuri kwa afya chama ni bora akaweka wazi kieleweke.

Mambo yameanza siku hazigandi!
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
18,679
2,000
Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini kuwa kiongozi ambaye hivi sasa ni mwenyekiti wa kanda na yule aliewahi kuhudumu nafasi mbali mbali serikalini na ccm siku yeyote ndani ya mwezi huu wataitisha mkutano na wanahabari na kuwaeleza misimamo yao kisiasa na muelekeo,mzee huyo yeye analalamika kwa watu wake wa karibu kuwa tangu aliposhawishiwa kujitoa ccm alilipwa pesa nusu na mpaka hivi sasa hajamaliziwa malipo yake na mtu aliemuahidi hata akimuuliza hivi sasa anampuuza na hana majibu mazuri,chanzo hicho kimesema siku hiyo ndio atazungumza hatima yake na kuhusu mwenyekiti wa kanda analalamika kutengwa na wenzie aliojiengua nao ccm kisa tu, yeye kupata uenyekiti wa kanda na hata mwenyekiti taifa kwa kuwa yeye yupo upande huo wa hao watu pia na yeye hamuelewi

Chanzo hicho kinasema hata zinapotekea shughuli za chama basi mmoja huulizia kama mwenzake amehudhuria na kama imekua hivyo basi mmoja hafiki tena sasa mwenyekiti huyo anaona si vizuri kwa afya chama ni bora akaweka wazi kieleweke

Mambo yameanza siku hazigandi!
Hata kama ni kweli hawana lolote ni kutafuta kiki tuu ina maana tangu wanga'atuke huko ccm kipindi chote hicho walikosa la kusema ndo waje kusema muda huu?
 
Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,595
2,000
Unazaliwa siku moja na unakufa siku moja. Hata Edo hakuna ambaye alijua siku zote alipokuwa sisiemu na hela zake na hongo na kila ufahari wake, kuna siku angenunua CDM na kuwa yake.
Hata kama ni kweli hawana lolote ni kutafuta kiki tuu ina maana tangu wanga'atuke huko ccm kipindi chote hicho walikosa la kusema ndo waje kusema muda huu?
 
Kuntakint

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,771
2,000
Posho kabla ya SAA NNE ili upate hela ya supu haiwezekani. Polepole anatoa SAA 11 jioni.
Watanzania kweli mnayo safari ndefu ndio vijana hao ndio mawazo yao. Eeh okoa hiki kizazi kimelaaniwa. Yaani inaudhi kwa mtu mzima mwenye umri unaonzia miaka 18 anakaa na kuanza kuandika vitu kama hivi. Yaani ukishakuwa unapata angalau pesa kidogo kutoka ccm akili pia huama. Kijana wa kitanzania kwann usijitegemee kwann ucfanye kazi ukapata kipato chako na ukawa huru kuongea au kuandika kilicho kichwani kwako. Bila ccm kuondoka madarakani watanzania watakuwa mambumbu milele
 
MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
26,113
2,000
Inajulikana sana jamaa alivyomwaga ngawila kwa washikaji mitaani mpaka DJ kawa kiziwi na kipofu wa pesa. Maajabu yake, wale waliosajiliwa walipewa nafasi za juu moja kwa moja bila kufanyiwa majaribio.

Kweli siasa za Tanzania zina shida!!!
Ajabu unakuta mtuu anapandisha mishipa lama ngiri Tanzania kuna upinzani!!
 
myoyambendi

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
98,438
2,000
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom