Viongozi wawili wa Baraza la la Wazee Taifa la CHADEMA, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,856
Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na Polisi

Viongozi wawili wa Baraza la la Wazee Taifa la CHADEMA, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro usiku wa kuamkia leo Aprili 17, 2018 ambapo mpaka sasa haijafahamika kusudio la kukamatwa kwao.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje Chadema, John Mrema wakati alipokuwa anazungumza na mwandishi wa habari hizi na kuwataja viongozi hao waliokamatwa kuwa ni dereva Proaches Urassa na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Jimbo la Morogoro Kusini Mzee Daniel Banzi.

"Jambo la kusikitisha ni kuwa jana usiku Polisi walivamia walikokuwa wamelala Viongozi na kuwakamata baadhi yao ambao walikuwa kwenye ziara ya kukutana na wazee kwenye vikao vya ndani.

"Hakuna maelezo ya maana yanayotolewa zaidi ya Polisi kusema ni ukaguzi wa kawaida, ila ukweli ni kwamba kila wanapoonekana viongozi wa CHADEMA Polisi wanawakamata", amesema Mrema.

Pamoja na hayo, Mrema ameendelea kwa kusema "mpaka sasa tumewatuma Mawakili wetu mkoani Morogoro ili waweze kujua viongozi hao walikamatwa kutokana na tatizo gani. Tunalaani kwa nguvu zote udhalilishaji huu unaofanywa dhidi ya viongozi na wanachama wetu".
 
UdU mbele kwa mbele huyu ni mtu hatari sana kwa mustakabali na mshikamano wa Taifa letu. Mafisadi Mkapa na Kikwete wametuletea janga kubwa sana Nchini.
 
safi sna wakamatwe tu hakuna namna watueleze 1.5trilion zimenda wapi?hatutaki mchezo mchezo na umbeya hapa kazi tu.
 
UdU mbele kwa mbele huyu ni mtu hatari sana kwa mustakabali na mshikamano wa Taifa letu. Mafisadi Mkapa na Kikwete wametuletea janga kubwa sana Nchini.
teh teh teh ee... Mkuu tunajenga viwanda vya saluni!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
wataitapika tu pesa zetu mafisadi...hi kamata kamata ndyo mafisadi enyewe chadema
 
Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na Polisi

Viongozi wawili wa Baraza la la Wazee Taifa la CHADEMA, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro usiku wa kuamkia leo Aprili 17, 2018 ambapo mpaka sasa haijafahamika kusudio la kukamatwa kwao.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje Chadema, John Mrema wakati alipokuwa anazungumza na mwandishi wa habari hizi na kuwataja viongozi hao waliokamatwa kuwa ni dereva Proaches Urassa na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Jimbo la Morogoro Kusini Mzee Daniel Banzi.

"Jambo la kusikitisha ni kuwa jana usiku Polisi walivamia walikokuwa wamelala Viongozi na kuwakamata baadhi yao ambao walikuwa kwenye ziara ya kukutana na wazee kwenye vikao vya ndani.

"Hakuna maelezo ya maana yanayotolewa zaidi ya Polisi kusema ni ukaguzi wa kawaida, ila ukweli ni kwamba kila wanapoonekana viongozi wa CHADEMA Polisi wanawakamata", amesema Mrema.

Pamoja na hayo, Mrema ameendelea kwa kusema "mpaka sasa tumewatuma Mawakili wetu mkoani Morogoro ili waweze kujua viongozi hao walikamatwa kutokana na tatizo gani. Tunalaani kwa nguvu zote udhalilishaji huu unaofanywa dhidi ya viongozi na wanachama wetu".
Mmmh uskute wamehuska na huo upotevu wa fedha 1.5t
 
Tulitegemea nini tulipoikabidhi nchi kwa mtu mwenye IQ ndogo sana?
 
Kwa hiyo na dereva nae ni kiongozi wa baraza la wazee? Daaaah aisee mnasikitisha sana chadema.
 
UdU mbele kwa mbele huyu ni mtu hatari sana kwa mustakabali na mshikamano wa Taifa letu. Mafisadi Mkapa na Kikwete wametuletea janga kubwa sana Nchini.
Na ni mpaka mpasuke kabisa. CCM Mbele kwa mbele forever. Na huyu mnaemchukia ni hadi 2025. Mbona mtajiona cha mtema kuni Mkuu?
 
Genge la wahuni majizi mafisadi na wauaji. ZWAZWA ndivyo walivyo. Wewe kwa akili yako finyu unadhani ni chuki wakati huo huo umefumbia macho udhalimu na ufisadi mkubwa wa hili jiwe. Watanzania kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa.

Back
Top Bottom