Viongozi Warafi wa kiafrika kwisha kabisa ndani ya mwaka mmoja!!!

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,632
68,560
Tume imeundwa akiwamo Thabho mbeki kuchunguza mali zote zilizowekezwa nje na viongozi wa kiafrika!

Nawasilisha
 
Tazama wote waliounda hiyo tume si ni waafrika wezi wetu hawahawa?Hakuna jipya hapo labda Mungu akiwapa uadilifu japo kidogo waweza fanya jambo.:A S-coffee:
 
Tazama wote waliounda hiyo tume si ni waafrika wezi wetu hawahawa?Hakuna jipya hapo labda Mungu akiwapa uadilifu japo kidogo waweza fanya jambo.:A S-coffee:

Mbona BBC wamesema kutoka africa ni m1 tu tabho mbeki.
 
Back
Top Bottom