Viongozi wapya wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

Mwenyekiti, Katibu mkuu, Naibukatibu mkuu bara wanatokea Kilimanjaro
Ndio hivyo Tena! Kama inakubana ivue tu kwani huku cdm sio ccm! Mnahaha kweli na bashite wenu! Kalambeni chumvi muokoe makoo yenu yanayoimba ukanda na ukabila Kika uchwao!
 
Mbowe akili ilishagota hana jipya wala mbinu mpya ya kukiongoza chama

Halaf wanamuimbia pambio eti la mwamba tuvushe, dah maajabu sana mtu aliyeshindwa kuwavusha uchaguzi 2015 akaita mafisadi yaje yagombee urais then juzi uchaguzi serikali za mitaa kashindwa tena kuwavusha
ataweza kuwavusha 2020 kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna akili hata kiduchu na ndio sababu dadako kakuchukua kwenu kuja kukulea! Unajua maana ya ushindani? Ulitaka akiwashe baada ya lubuva kuwapa ushindi wa mezani chini ya mtutu? Angeweza but alifikiria mbali na kuiona amani kwanza kabla ya madaraka! Kwake mama Tanzania ni muhimu kuliko huo urais! Ninyi huko ccm mnahanikiza vurugu na uvunjivu wa amani, haiyumkini ni wakimbizi kutoka nchi za mawe na maporomoko! Jitafakarini kidogo na mfikiri kwa kina washamba ninyi!
 
Hivu chadema hakina watanzania wa kiislamu? Kamati kuu muislamu mmoja tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo udini wako Rudi nao ccm kwani mlianza nao na ukawashinda! Kwenye safu ya uongozi ya ccm Kuna waislamu wangapi? Hao waliopo wanafanya ratio ya 50/50? Kwanini haipo nusu kwa nusu? Ukipata majibu kimbia ukadowee ugali kwa shemejio? Au nawe mkimbizi unayetaka kutupandikizia udini? Wahi Syria na Yemen!
 
Nimeambia kuwa sasa chadema kimekuwa serious chama cha kikanda maana iko hivi

Mwenyekiti mchanga :Kilimanjaro

Mkwenyekiti wa wanawake mpare :Kilimanjaro

Katibu mkuu :mpare Kilimanjaro

Chadema ni sikio la kufa sasa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusiende huko hiyo direction ni sawa na kuwasha cheche kwenye mitambo ya gesi. Mi siyapendi macdm lakini hiyo direction mwanzisha thread big no.
Kila RAIA wa nchi hii ana haki sawa na mwingine. Kuanza kutambuana kwa makabila hiyo hapana kwa kweli.
 
Wazee wa ku-Copy na Ku-paste lini na nyie mnaanza digital membership registration system? usione aibu funguka.
 
Kamati.kuu wabunge watupu.
Kamati kuu ilitakiwa kusheheni watu wengi ambao sio wabunge sababu wao ndio.wasimamizi wakuu wa Chama na wabunge wao.Kwa mfumo huo.bunge wanalisimamiaje wakati wao ni wabunge?
Kati ya wajumbe tisa, watatu tu ndo wabunge. Na ubunge wao unaisha mwakani ambapo wanaweza wasirudi tena. So mbowe ameona mbali kaamua awape kazi kwenye chama mapema. Ingawa sijui watalipwaje maana kuanzia mwaka 2021 baada ya uchaguzi hawatakua na ruzuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe akili ilishagota hana jipya wala mbinu mpya ya kukiongoza chama

Halaf wanamuimbia pambio eti la mwamba tuvushe, dah maajabu sanaa mtu aliyeshindwa kuwavusha uchaguzi 2015 akaita mafisadi yaje yagombee urais then juzi uchaguzi serikali za mitaa kashindwa tena kuwavusha
ataweza kuwavusha 2020 kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mafisadi wamerud chama gan kwa sasa?
 
Hongera sana CHADEMA kwa kuinua kaskazini kwa mara nyingine. Mwenyekiti, Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu bara wanatokea Kilimanjaro kwa asili.
.
Mnyika sio mkaskazini kajipange upya.

Btw wamechaguliwa kwa merit sio kwa kanda.... Kigaila kapigania chama toka enzi hizo na Mnyika pia ni product ya CHADEMA toka karne inaanza kwahyo wamestahili hizo nafasi.
 
Dr. Bashiru ni KANDA YA ZIWA kwa aliyeuliza

Ni Mhaya ya Bukoba Vijijini akitokea kijiji maarufu cha Kanazi kata maarufu ya KATERERO!!!!!
 
Una mawenge wenge, mawaziri ambao ni wabunge wanalisimamiaje Bunge wakati wao ni watetezi wa serikali. Hilo hulioni unaona la CDM
Kamati.kuu wabunge watupu.
Kamati kuu ilitakiwa kusheheni watu wengi ambao sio wabunge sababu wao ndio.wasimamizi wakuu wa Chama na wabunge wao.Kwa mfumo huo.bunge wanalisimamiaje wakati wao ni wabunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom