Ndio hivyo Tena! Kama inakubana ivue tu kwani huku cdm sio ccm! Mnahaha kweli na bashite wenu! Kalambeni chumvi muokoe makoo yenu yanayoimba ukanda na ukabila Kika uchwao!Mwenyekiti, Katibu mkuu, Naibukatibu mkuu bara wanatokea Kilimanjaro
Ndio hivyo Tena! Kama inakubana ivue tu kwani huku cdm sio ccm! Mnahaha kweli na bashite wenu! Kalambeni chumvi muokoe makoo yenu yanayoimba ukanda na ukabila Kika uchwao!Mwenyekiti, Katibu mkuu, Naibukatibu mkuu bara wanatokea Kilimanjaro
Huna akili hata kiduchu na ndio sababu dadako kakuchukua kwenu kuja kukulea! Unajua maana ya ushindani? Ulitaka akiwashe baada ya lubuva kuwapa ushindi wa mezani chini ya mtutu? Angeweza but alifikiria mbali na kuiona amani kwanza kabla ya madaraka! Kwake mama Tanzania ni muhimu kuliko huo urais! Ninyi huko ccm mnahanikiza vurugu na uvunjivu wa amani, haiyumkini ni wakimbizi kutoka nchi za mawe na maporomoko! Jitafakarini kidogo na mfikiri kwa kina washamba ninyi!Mbowe akili ilishagota hana jipya wala mbinu mpya ya kukiongoza chama
Halaf wanamuimbia pambio eti la mwamba tuvushe, dah maajabu sana mtu aliyeshindwa kuwavusha uchaguzi 2015 akaita mafisadi yaje yagombee urais then juzi uchaguzi serikali za mitaa kashindwa tena kuwavusha
ataweza kuwavusha 2020 kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ni Bora hao kuliko wewe tambara la deki la jiwe na bashite! Hivi kwa akili zako timamu unatumikia na kumsifu musiba, polepole, jiwe na bashiru? Njaa itakutoa roho!
Huo udini wako Rudi nao ccm kwani mlianza nao na ukawashinda! Kwenye safu ya uongozi ya ccm Kuna waislamu wangapi? Hao waliopo wanafanya ratio ya 50/50? Kwanini haipo nusu kwa nusu? Ukipata majibu kimbia ukadowee ugali kwa shemejio? Au nawe mkimbizi unayetaka kutupandikizia udini? Wahi Syria na Yemen!Hivu chadema hakina watanzania wa kiislamu? Kamati kuu muislamu mmoja tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magu munamuogopa anapoleta ukanda kwenye maslahi ya taifa munaiangalia chadema tu,pumbav.Hongera sana CHADEMA kwa kuinua kaskazini kwa mara nyingine. Mwenyekiti, Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu bara wanatokea Kilimanjaro kwa asili.
.
Kati ya wajumbe tisa, watatu tu ndo wabunge. Na ubunge wao unaisha mwakani ambapo wanaweza wasirudi tena. So mbowe ameona mbali kaamua awape kazi kwenye chama mapema. Ingawa sijui watalipwaje maana kuanzia mwaka 2021 baada ya uchaguzi hawatakua na ruzuku.Kamati.kuu wabunge watupu.
Kamati kuu ilitakiwa kusheheni watu wengi ambao sio wabunge sababu wao ndio.wasimamizi wakuu wa Chama na wabunge wao.Kwa mfumo huo.bunge wanalisimamiaje wakati wao ni wabunge?
Hao mafisadi wamerud chama gan kwa sasa?Mbowe akili ilishagota hana jipya wala mbinu mpya ya kukiongoza chama
Halaf wanamuimbia pambio eti la mwamba tuvushe, dah maajabu sanaa mtu aliyeshindwa kuwavusha uchaguzi 2015 akaita mafisadi yaje yagombee urais then juzi uchaguzi serikali za mitaa kashindwa tena kuwavusha
ataweza kuwavusha 2020 kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio una akili ndogo sana, unawaza mambo ya dini tu unafikiri anatafutwa imam hapo na je kama sio wanachama unataka wapewe tu kwa nguvu hata kama hawana sifa...!!Hivu chadema hakina watanzania wa kiislamu? Kamati kuu muislamu mmoja tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtakapo acha kutumia polisHapa ndipo wapinzani wanapokosea. Sasa hapa mtatutoa CCM madarakani lini kwa mbinu zenu hizi chovu
Sasa kuwa mzaliwa shida nini unaleta makabila kwenye uongozi unataka kutambika au?Ndiyo, Kigaila ni mpare pure japo anaishi nje ya kilimanjaro
Mnyika sio mkaskazini kajipange upya.Hongera sana CHADEMA kwa kuinua kaskazini kwa mara nyingine. Mwenyekiti, Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu bara wanatokea Kilimanjaro kwa asili.
.
Kamati.kuu wabunge watupu.
Kamati kuu ilitakiwa kusheheni watu wengi ambao sio wabunge sababu wao ndio.wasimamizi wakuu wa Chama na wabunge wao.Kwa mfumo huo.bunge wanalisimamiaje wakati wao ni wabunge?
Kamati.kuu wabunge watupu.
Kamati kuu ilitakiwa kusheheni watu wengi ambao sio wabunge sababu wao ndio.wasimamizi wakuu wa Chama na wabunge wao.Kwa mfumo huo.bunge wanalisimamiaje wakati wao ni wabunge?
Hapa ndipo wapinzani wanapokosea. Sasa hapa mtatutoa CCM madarakani lini kwa mbinu zenu hizi chovu