- Thread starter
- #61
Ungejua aliendika makala hii ni kamanda kama cc usingemtusi kwa kumfananisha na MACC mkuuMbinu zenu zote za kuwachonganisha Mbowe na Slaa zimegonga mwamba sasa mmeamua kuja kwa ushauri mbuzi kama huu.
Chadema ni Msingi inaendeshwa kwa katiba na kanuni zake na sio kupangiana nafasi kama mnavyofanya huko CCM.
:bored: