Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,864
- 5,672
Haki ya nani, mleta uzi naye anaungana na waraka wa mabadiliko wa akina MM, M1,M2 na M3. Mnawapinga wa kina ZZK lakini kimoyoni mnataka mabadiliko. Haya sasa Ngoja LEMA aje na Tofali lake utakoma.....Mchg Msigwa umemtupilia mbali, Tundu Lissu naye hayupo...........weeeeeeeeeee hawatakubali.
Mmh! Mimi nadhani mpaka tufike uchaguzi 2015 hawa M watakuwa wameshazidi M23 wa Congo sijui chama kitaomba jeshi la UN?
Body without head