Viongozi wanaotukalisha barabarani ili misafara yao ipite hawajali wala kuheshimu muda wetu

Naomba kufahamishwa
Hv na marais wastaafu na wenyewe misafara yao barabarani ipoje?
Huwa magar yanazuiliwa yasipite hadi wao wapite au inakuwaje
 
Kwa kweli ni kero sana, kuna siku tumesimamishwa pale Mikese mizani karibu nusu saa, eti tunasubiri IGP apite nikabaki nimeduwaa. Hadi IGP anasimamisha watu na shughuli zao
 
Naomba kufahamishwa
Hv na marais wastaafu na wenyewe misafara yao barabarani ipoje?
Huwa magar yanazuiliwa yasipite hadi wao wapite au inakuwaje
Ndio ,mwaka jana Jakaya alikuja kama mara mbili huku Tanga akiwa anaenda ukweni kwa mzee Asasi magari yote ylikuwa yanawekwa pembeni kupisha njia .Anakuwa na gari tatu moja la kingora ,la pili lake na latatu la wasindikizaji.
 
Hii ni kero ambayo nahisi imebarikiwa kabisa na mamlaka.

Hauwezi kunikalisha barabarani mda mrefu kisa wewe una msafara wako misafara ambayo haina hata maana.

Nimetoka ku experience huu upuuzi mda si mrefu.

Kuna haja ya hili kuangaliwa kwenye katiba mpya

Kabisa hawa viongozi wanatuchosha kutusubirisha njiani tena kwenye madaladala tumejazana joto kama lote ,mtu anatoka posta anaenda oysterbay si awe anatumia choppa tu?
 
Hii ni kero ambayo nahisi imebarikiwa kabisa na mamlaka.

Hauwezi kunikalisha barabarani mda mrefu kisa wewe una msafara wako misafara ambayo haina hata maana.

Nimetoka ku experience huu upuuzi mda si mrefu.

Kuna haja ya hili kuangaliwa kwenye katiba mpya
Au kama vipi watengeneze barabara zao. Waache kujiona wao ndiyo wenye thamani na wanaojali muda kuliko wengine.

Hata mimi jambo hili limekuwa likinikera sana.
 
Hata wao pia hua hawajuagi kama gari zimesimamishwa kwa muda mrefu...

Wakulaumiwa ni waongozaji na wandaaji...
 
Kwa kweli ni kero sana, kuna siku tumesimamishwa pale Mikese mizani karibu nusu saa, eti tunasubiri IGP apite nikabaki nimeduwaa. Hadi IGP anasimamisha watu na shughuli zao
Wewe unashangaa IGP? Hadi chaka polepole eti kalikuwaga na msafara na kusimamisha watu.
 
Jana naenda Airport pale KIA mida ya saa saba mpka saa nane mchana Aisee tulisimamishwa saa moja pale.
 
Back
Top Bottom