Viongozi wanaoongoza kwa udikteta Afrika ni hawa

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,261
1,222
1. Omar Al-bashir wa SUDAN
2. Paul Kagame wa Rwanda
3. Idriss Derby wa Chad
4. Obiang Mbasogo wa Equatorial Guinea
5. Yoweri Museveni wa Uganda
Wote ni wanajeshi. wote wameingia madarakani kwa kupindua nchi au kupitia vikundi vya waasi.
Ktk Nchi hizi, waandishi wengi wa habari hawako huru ktk kazi zao. pia demokrasia haiko vzr.
 
Nonsense
 
So what?
 
Saddam Hussein was a dictator & so was Gadaffi na nchi zao zilikuwa hazina mauaji km haya yanaotokea baada ya kuwaondoa.
 
1. Omar Al-bashir wa SUDAN
2. Paul Kagame wa Rwanda
3. Idriss Derby wa Chad
4. Obiang Mbasogo wa Equatorial Guinea
5. Yoweri Museveni wa Uganda
Wote ni wanajeshi. wote wameingia madarakani kwa kupindua nchi au kupitia vikundi vya waasi.
Ktk Nchi hizi, waandishi wengi wa habari hawako huru ktk kazi zao. pia demokrasia haiko vzr.
Sio kila Kiongozi aliyepindua nchi aligeuka kuwa Dikteta, wengine welipita kwa Masanduku ya Kura mwisho wa siku wakawa Madikteta!
 
1. Omar Al-bashir wa SUDAN
2. Paul Kagame wa Rwanda
3. Idriss Derby wa Chad
4. Obiang Mbasogo wa Equatorial Guinea
5. Yoweri Museveni wa Uganda
Wote ni wanajeshi. wote wameingia madarakani kwa kupindua nchi au kupitia vikundi vya waasi.
Ktk Nchi hizi, waandishi wengi wa habari hawako huru ktk kazi zao. pia demokrasia haiko vzr.

Nchi nyingine sizifahamu kwa karibu, lakini tuchukulie nchi za Rwanda na Uganda hivi sasa zimefikia wapi kimaendeleo - ziko mbali sana, wakati mwingine ujiuliza maswali mengi hivi sisi Wafrika tunahitaji kweli uhuru uliopitiliza mipaka au tuongozwe kipolisi polisi kwa muda kurudisha nidhamu.

Kwa akili za kawaida unaweza kuamini kilichokuwa kinaendelea ndani ya Taifa letu for too long, tunakuwa na watumishi/wastaafu hewa bila ya Serikali kushtuka, kibaya zaidi scam hii hipo karibu kila Mkoa - it was a well organised syndicate siphoning billions of duff per moon unscaved!!

Hata hii project ya reli ya kati kwenda Rwanda kama tunataka tufanikiwe kuitandaza bila mizengwe na wizi basi Project hii tumwachie Kagame a form a formidable team ambayo itakuwa answerable kwake - Dk.Magufuli hawe updated progress from time to time - ukiwachia watanzania watamzengua na kumdanganya tumekwisha lemaa, kama wizi wa Bandarini bado hupo pale pale ingawa si kwa kiwango cha wanzoni lakini wizi na udanyifu bado hupo licha ya Dk.Magufuli na Waziri mkuu kujitahidi siku za mwanzo kusafisha - hivi sasa mambo ni lukewarm hakuna ushahidi wa kutosha wa kuonyesha kwamba wafanyakazi na wakuu wa vitengo wana emulate temple ya Dk.Magufuli katika ufanyaji kazi hakuna ni business as usual!

Sijui Dk.Magufuli amuamini nani amuache nani - labda ajaze ma academician kwenye mission critical posts - narudia kusema kwa nia njema kwamba JPJM aweke watu wapya kwenye keypost za kutuvusha rubbicon hasi-appoint remnant wa awamu zilizo pita, kama anaona vipi basi awape shughuli nyingine sio Serikalini.
 
Back
Top Bottom