Viongozi/ wanachama wa upinzani nisiowaamini Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi/ wanachama wa upinzani nisiowaamini Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chibhitoke, Nov 19, 2010.

 1. c

  chibhitoke Member

  #1
  Nov 19, 2010
  Joined: Jun 1, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. Sambwee Shitambala - Mgombea Ubunge CHADEMA- Mbeya. Huyo aliuza ubunge kwenye uchaguzi mdogo, kauza tena kwenye uchaguzi uliopita- ushahidi upo wazi kabisa- kila mtu anajua

  2. Prof. Lipumba- Tangu ''alipovunjwa'' mkono na kutishiwa kuwa ana asili ya nchini kwetu( Burundi) amekuwa ni CCM 'B'

  3. Thomas Nyimbo- Afisa Usalama- aliwauza PONA ( Maslahi yake mbele zaidi)

  4. SHibuda John- Haaminiki kabisa

  5. Seif Shariif Hamad- Maslahi yake mbele ni msaliti- kumbuka issue ya Aboud Jumbe

  6. Zitto Kabwe - Anajiona anajua sana, anaamini sana (kupitiliza) katika fikra zake, anapenda sana sifa, ana mapenda makuu (magari makubwa)- hivyo ni rahisi kufika bei (akibadili dini anaweza kupata mshauri wa ajabu wa kumuongoza)
  7.
   
 2. N

  Njaare JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  mbona mimi sijui. ni vyema ukeweka kwa kifupi kauzaje.
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sina la kusema kwa wengine,ila kwa zitto,nilikua simwamini pia lakini pamoja na kasoro zote ulizo toa nadhani ni mapungufu ya kibinadamu ambayo kila mtu anayo,kama anajiona huo ndio udhaifu wake lakini haumfanyi kutokuwa kiongozi bora

  Hao wengine,mmmmh siwaamini by 100% na shibuda atavunja chadema hapaswi kuachiwa any gap kukamata cheo ndani ya chama,2015 atataka kugombea uraisi huyu
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,205
  Trophy Points: 280
  Mmeona mje na singo hii CD no 2.
   
 5. c

  chibhitoke Member

  #5
  Nov 20, 2010
  Joined: Jun 1, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shitambala kwenye uchaguzi wa mdogo kujaza nafasi ya Richard Nyaulawa alijaza fomu yake bile kuwa na sahihi ya haki,u kama sheria inavyotaka na pia alirejesha fomu Jumapili

  Safari hii alikutana na kigogo mmoja wa CMM toka Dar siku moja kabla matokeo hayajatangazwa- lakini mwenzie sugu aligoma kata kata. Walichoongea ni siri yao matokeo ndo hayo ambayo kila mtu hayaamini. Lakini yeye yupo tuli
   
Loading...