Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

1595941423959.png

Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA?

Yaani hata majirani
Museveni
Kenyatta
Kagame, nao wamegoma?

Nakumbuka alipokufa Moi, Mkapa na JK walienda, so wao wametususa au?

Huu ni upuuzi kuanzia sasa kila nchi ipambane na changamoto zake yenyewe,
Hata wakiuana tusipeleke majeshi yetu kwao wala kutoa hifadhi wa wakimbizi kutoka kwao.

View attachment 1519387

Kwaheri mzee Baba, Watanzania tunatosha.
 
Kenyatta hapendi unafiki,, watanzania wengi tuna unafiki wa kuwango cha juu,,,
Kuna baadhi watu wanajiita wa Tz lakn maneno na matendo yao yanaonesha siyo wenzetu kabisa, katika kila Nchi kuna changamoto zake za maisha , democracry, tofauti za kisiasa, lakini linapokuja suala la Taifa lako lazma uliongelee vzr , hata hyo Nchi unayoisifia kuwa hawana unafika wa matatzo kibak pengine kuliko Tz lakn huwez sikia wenzako wanaisema Nchi yao vibaya, kaka tubadilike .

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Bendera kupepea nusu mliongoti ni swala ambalo ni la makubaliano ya EAC na lipo kwenye muongozo. Uwe unafuatilia mambo kabla hujaandika.
Haya hawajaja wanamchukia jiwe na oktoba watashiriki kumpigia kampeni Lisu!

Furahi sasa
 
Kuna wakati unaongea vitu vya maana, then kuna wakati unaongea UPOLOTO kama huu. Protokali gani hizo unazojua mwenzetu ambazo sie hatuzijui? It is this simple: hakuna Rais Mwenye akili timamu anayeweza kuzuru Tanzania muda huu. Nyie endeleeni kuficha takwimu za korona makalioni, mtakapotengwa na kila mtu ndio mtagundua kuwa kuficha tatizo kunaweza kuzua tatizo kubwa zaidi ya unaloficha.
Dah aisee, apa umeamua kufikiria kwa kina au umeongea tu, kwa hiyo furaha yako ni kutajiwa idadi ya Wagonjwa? au kupewa taarifa za walipoteza maisha?.
Kaka huu ugonjwa n Pandemic kila Nchi inachukua hatua zake kulingana na hali ya ugonjwa ulivo Nchi husika, au unataka kitangaziwa tu kama fashion, wewe kama wewe zitakusaidia nn labda

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Wakae tu huko huko Corona yao wasituchoshe, wanaweza kuwa nayo Covid-19 kutoka kwao kisha wakaisingizia Tanzania imewambukiza wacha wabaki huko huko, kiongozi yetu atazikwa tu.
 
Kenyatta: Kenya isilinganishwe na nchi zinazoficha takwimu za Corona ambazo pia hazina uhuru wa habari na demokrasia. Yani Tanzania iliyokuwa ya mfano inapigwa madongo na Kenya.

Kenyatta hawezi kuja kwenye nchi ya hivyo.
Kwani wewe umerudi toka Kenya?
 
Haya ni mawazo yako, ushirikiano kati ya nchi na nchi ni jambo kubwa kuliko msiba. Hivi mtu kama ametuma salamu za rambirambi na kupepea bendera ya nchi yake nusu mlingoti kwa siku tatu bado haitoshi tu?

.....ndiyo maana hili linaitwa "JUKWAA LA SIASA". Kila kiandikwacho humu ni politics

....najua umenielewa. Don't take every thing posted in here serious. Utachanganyikiwa bure tu ndugu yangu
 
Sisi ni kisiwa cha amani
Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA?

Yaani hata majirani
Museveni
Kenyatta
Kagame, nao wamegoma?

Nakumbuka alipokufa Moi, Mkapa na JK walienda, so wao wametususa au?

Huu ni upuuzi kuanzia sasa kila nchi ipambane na changamoto zake yenyewe,
Hata wakiuana tusipeleke majeshi yetu kwao wala kutoa hifadhi wa wakimbizi kutoka kwao.

View attachment 1519387

Kwaheri mzee Baba, Watanzania tunatosha.
 
Naona tumepata fundisho
Kenyatta: Kenya isilinganishwe na nchi zinazoficha takwimu za Corona ambazo pia hazina uhuru wa habari na demokrasia. Yani Tanzania iliyokuwa ya mfano inapigwa madongo na Kenya.

Kenyatta hawezi kuja kwenye nchi ya hivyo.
 
Ila hata nchi nyingine za Afrika tulizoshiriki kuzikomboa? Labda Corona imezuia. Hivi kule kwa Burundi hakuna Marais wa Africa walihudhuria? Anyway tumeshafiwa na our Hero tunaoumia ni sisi.
Hero gani asiyetambulika?
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom