Viongozi wakuu wa CHADEMA wamaliza mgogoro Ruvuma


MZK

MZK

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
214
Likes
274
Points
80
MZK

MZK

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
214 274 80
VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA WAMALIZA MGOGORO RUVUMA

Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi, ujio wa wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA katika mkoa wa Ruvuma wakiongozwa na makamo mwenyekiti wa chama Prof. Abdallah Safari, waziri mkuu mstaafu Mh. Edward Lowassa na naibu katibu mkuu visiwani Salum Mwalim wamefanikiwa kumaliza mgogoro wa kisiasa uliodumu kwa muda mrefu mkoani humo na hatimaye kamati tendaji ya chama hicho wilaya ya Songea mjini kukubali kuachia ngazi na kupisha wanachama wengine kushika nafasi hiyo.

Baada ya hatua hiyo ukumbi ulitawaliwa na nderemo na vifijo kuashiria mwanzo mpya wa uongozi katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Baadhi ya wanachama wamesikika wakitoa maoni yao na kupongeza viongozi hao wakuu wa chama kwa busara yao iliyotumika kumaliza mgogoro huo.

NB: Kwenye picha ni Viongozi wa wilaya ya Songea mjini wa CHADEMA waliokubali kujiuzulu, wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati kuu walioko mkoani Ruvuma katika ziara maalum ya kukijenga chama
 

Attachments:

S

stigajemwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
448
Likes
423
Points
80
S

stigajemwa

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
448 423 80
Hapo sidhani kama wametatua mgogoro. Sababu kiongozi anaeamua kujiuzulu kutokana na mgogoro huwezi jua kwenye nafsi yake ana msimamo gani
 
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
15,067
Likes
4,861
Points
280
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
15,067 4,861 280
.....
.....safiiii
 
mambo

mambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2007
Messages
2,375
Likes
5,421
Points
280
mambo

mambo

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2007
2,375 5,421 280
Hawana uwezo wa kumaliza mgogoro wowote ...cheap popularity
 
Ghosryder

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Messages
9,478
Likes
2,401
Points
280
Ghosryder

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2014
9,478 2,401 280
Kumbe Lowasa ni kiongozi mkuu wa chadema! Ndio cheo gani kwenye katiba ya chadema?
 
tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Messages
2,232
Likes
3,639
Points
280
tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined May 6, 2011
2,232 3,639 280
Kumbe Lowasa ni kiongozi mkuu wa chadema! Ndio cheo gani kwenye katiba ya chadema?
Sehem gan umeona pameandikwa hvo kwamba Lowassa ni kiongoz mkuu wa chadema??

Kama huna cha kuchangia pita tu!!

Maana ametajwa kwa cheo chake cha zaman. Aliyekua waziri mkuu.
 
Ghosryder

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Messages
9,478
Likes
2,401
Points
280
Ghosryder

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2014
9,478 2,401 280
Sehem gan umeona pameandikwa hvo kwamba Lowassa ni kiongoz mkuu wa chadema??

Kama huna cha kuchangia pita tu!!

Maana ametajwa kwa cheo chake cha zaman. Aliyekua waziri mkuu.
Mi nimesoma Uzi wa mtoa mada na nikauliza kutokana na yaliyoandikwa ndani ya mada yake. Acha kutoa povu dogo
 
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Messages
9,021
Likes
11,669
Points
280
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2011
9,021 11,669 280
Hapo sidhani kama wametatua mgogoro. Sababu kiongozi anaeamua kujiuzulu kutokana na mgogoro huwezi jua kwenye nafsi yake ana msimamo gani
Hata kwetu wachawi wapo
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
16,523
Likes
9,321
Points
280
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
16,523 9,321 280
Kumbe Lowasa ni kiongozi mkuu wa chadema! Ndio cheo gani kwenye katiba ya chadema?
Hayakuhusu endeleeni tu kugawana hela ya rambi rambi, lakini mjue Mungu anawaona, viumbe mlio laaniwa!!!
 

Forum statistics

Threads 1,272,606
Members 490,036
Posts 30,454,959