Viongozi wakuu wa CHADEMA kutua jimbo la Kyela hivi karibuni , CCM tumbo joto !

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,476
215,319
Hatari !
Hii ni katika ule mwendelezo wa vikao vya ndani nchi nzima , Maandalizi yote yamekamilika .

Muda na tarehe rasmi tutawawekea hapahapa , zipo tetesi kwamba mbunge wa kyela ambaye kwa sasa ni mkazi wa Dar es salaam ameomba likizo na kurejea nyumbani kwa muda , haifahamiki anasumbuliwa na nini .

Tuendelee kutega sikio .

Nakala imfikie Mwanahabari huru .
 
Acha kuamini tetesi kutoka kwenye gazeti la kufungia utumbo.Hata hivyo hao unaowasema kwani hawajahi kufika Kyela?mbona wamekuja mara nyingi tu na hakuna chocote cha ajabu wacha waje na wataondoka kama walivyokuja,Chadema kitu gani Kyela,Kyela ina wenyewe na wenyewe ndio CCM
 
mfianchi
Sidhani kama upo Kyela!Kama kungekuwa na msaada mdogo tu wa kifedha kutoka makao makuu basi Dr Mwakyembe angepigwa vibaya sana Kyela!2020 kama CHADEMA itajipanga vema hata waibe vipi CCM watapoteza ubunge na Halmashauri
Kimsingi Kyela ni Jimbo la wapinzani kote kutoka tarafa za Unyakyusa na Ntebela!CCM wana nguvu kidogo kata ya Lusungo sababu ya lile daraja na kata isiyopenda mabadiliko ya MATEMA!
CHADEMA walishinda viti vyote 9 vya udiwani kata za mjini na sasa wanaenda shinda shinda kata za Ikimba,Ikolo na Ngonga na hata Katumba
Mfianchi upo Kyela sehemu gani?Njoo Ngamanga tule maembe kidogo!
 
Tumbo joto Labda hili hapa chini

Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la mvomero kwa tiketi ya chadema mchungaji Osward Mlay amejiunga na ccm.. Hapa Kazi tu
 
Yaani Jabali la Siasa CCM itishwe na Maiti ya Chama?
 
Hizo takwimu zako sio sahihi kabisa naona unaandika huku umesinzia, hivi madiwani tisa wa chadema ni sawa na 24 wa ccm halafu unakuja hapa eti kyela ni jambo la wapinzani punguza ndoto kijana
 
Tumbo joto Labda hili hapa chini

Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la mvomero kwa tiketi ya chadema mchungaji Osward Mlay amejiunga na ccm.. Hapa Kazi tu

Ng'ombe aliyekatika mkia wa kazi gani, good riddance wacha amfuate Machali mchovu kwenye chama kilichoishiwa pumzi.
 
Hatari !
Hii ni katika ule mwendelezo wa vikao vya ndani nchi nzima , Maandalizi yote yamekamilika .

Muda na tarehe rasmi tutawawekea hapahapa , zipo tetesi kwamba mbunge wa kyela ambaye kwa sasa ni mkazi wa Dar es salaam ameomba likizo na kurejea nyumbani kwa muda , haifahamiki anasumbuliwa na nini .

Tuendelee kutega sikio .

Nakala imfikie Mwanahabari huru .
Mbunge wa kyela kwenda jimboni kwake ni haki yake na kuishi dar pia ni haki yake kwani yeye ni waziri muandamizi katika serikali ya awamu ya tano akihudumu wizara ya sheria na Katiba, unafikiri waziri yeyote anafanya kazi za wizara akiwa jimboni kwake? Zungusha mikono kijana na kamtayarishie Choo cha kufikia mwenye chama si unajua hana break
 
Hatari !
Hii ni katika ule mwendelezo wa vikao vya ndani nchi nzima , Maandalizi yote yamekamilika .

Muda na tarehe rasmi tutawawekea hapahapa , zipo tetesi kwamba mbunge wa kyela ambaye kwa sasa ni mkazi wa Dar es salaam ameomba likizo na kurejea nyumbani kwa muda , haifahamiki anasumbuliwa na nini .

Tuendelee kutega sikio .

Nakala imfikie Mwanahabari huru .
Si mlisema Magufuli ameminya democrasia??

Nyinyi chadema vihelehele sana Kyela mnaenda kutafuta nini wakati Tanzania hamna democrasia?
 
Hizo takwimu zako sio sahihi kabisa naona unaandika huku umesinzia, hivi madiwani tisa wa chadema ni sawa na 24 wa ccm halafu unakuja hapa eti kyela ni jambo la wapinzani punguza ndoto kijana
Tunakuja pale pale kwenye resources
CHADEMA Taifa iliwatenga Kyela wkt CCM kupitia Dr Mwakyembe walikuja kyela na mahela sana lkn mwisho wa siku walishinda ubunge na udiwani kwa tofauti ya kura chache sana wkt matumizi yalikuwa almost 10:1 ktk ratio
Kata kama Ikimba,Ipinda Mjini kwa Hunter,Ikolo,Kajunjumele,kata hizi za Ngonga na kata kama za maeneno ya Mwaya hawa CHADEMA wakijipanga vyema ni kata zao saa 2 asubuhi 2020
 
Acha kuamini tetesi kutoka kwenye gazeti la kufungia utumbo.Hata hivyo hao unaowasema kwani hawajahi kufika Kyela?mbona wamekuja mara nyingi tu na hakuna chocote cha ajabu wacha waje na wataondoka kama walivyokuja,Chadema kitu gani Kyela,Kyela ina wenyewe na wenyewe ndio CCM
Katika kikao hicho tunatarajia kusoma matokeo halali ya ubunge kama wananchi wa kyela walivyoamua , hatutatoa yale yaliyotangazwa kwa mtutu wa bunduki .
 
Tunakuja pale pale kwenye resources
CHADEMA Taifa iliwatenga Kyela wkt CCM kupitia Dr Mwakyembe walikuja kyela na mahela sana lkn mwisho wa siku walishinda ubunge na udiwani kwa tofauti ya kura chache sana wkt matumizi yalikuwa almost 10:1 ktk ratio
Kata kama Ikimba,Ipinda Mjini kwa Hunter,Ikolo,Kajunjumele,kata hizi za Ngonga na kata kama za maeneno ya Mwaya hawa CHADEMA wakijipanga vyema ni kata zao saa 2 asubuhi 2020
Ndio maana nakuambia unaota ndoto wewe na hujui uchaguzi ila unapayuka tu, imbebea hela Mwakyembe wewe? Acha porojo kyela hakuna upinzani hata kidogo usijidanganye na takwimu za uongo
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom