Viongozi wakuu wa CHADEMA kutua jimbo la Kyela hivi karibuni , CCM tumbo joto !

Haha hapo pia yupo mdogo wake Mwamunyange,jina limenitoka kidogo,karibu,Dangote pia alikuja tumbuiza hapo,mimi sikuwepo nasikia umati ulikuwa mkubwa balaa hadi watu wa Malawi walikuja,na watu 3 wakafa kutokana na ajali na pilikapilika za siku hiyo huyu mtoto Dangote sijui anasumaku gani mkuu
Mimi nitakuja hapo baada ya ccm kung'olewa kyela .
 
Kweli Chadema nyoote ni Vilaza, maana mtoa uzi amejidhihirisha hilo. Au ni mmoja ya wale waliopewa Kiroba? nashindwa kuuelewa.
 
Hatari !
Hii ni katika ule mwendelezo wa vikao vya ndani nchi nzima , Maandalizi yote yamekamilika .

Muda na tarehe rasmi tutawawekea hapahapa , zipo tetesi kwamba mbunge wa kyela ambaye kwa sasa ni mkazi wa Dar es salaam ameomba likizo na kurejea nyumbani kwa muda , haifahamiki anasumbuliwa na nini .

Tuendelee kutega sikio .

Nakala imfikie Mwanahabari huru .
Wacheni kutoka mapovu. Kama kweli mnataka kuwaweka tumbo Joto kagaweni mamilioni kwa wananchi.
Mmezoea siasa za kuchonga ngenga.
Kwanza update kilaptop chako ulichopewa
 
Wacheni kutoka mapovu. Kama kweli mnataka kuwaweka tumbo Joto kagaweni mamilioni kwa wananchi.
Mmezoea siasa za kuchonga ngenga.
Kwanza update kilaptop chako ulichopewa
Zile mil 50 za Magufuli kila kijiji zimegawiwa ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom