Viongozi wafuatao kauli zao zimegomewa na watendaji.

Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
4,253
6,889
1. Waziri mkuu..alitaka UDART waachane na ticket za vishina...mpaka Leo vishina vinaendelea kama Kawa.
2. Mkuu wa mkoa wa Dsm- Nahisi huyu sijui wanamchukuliaje maana anamatamko mengi sana mpaka mengine nimeyasahau..moja wapo kubwa ni la Wamachinga...hapa kauli zake (yake) huwa hazisikilizwi kabisa.
3.
4.
5.
 
Back
Top Bottom